MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Timu Ya Bunge Yakabidhiwa Vifaa Vya Michezo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Timu Ya Bunge Yakabidhiwa Vifaa Vya Michezo
Habari

Timu Ya Bunge Yakabidhiwa Vifaa Vya Michezo

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na  Lucy Lyatuu, Dodoma
TIMU ya Bunge SC imekabidhiwa  vifaa mbalimbali vya michezo na Kampuni ya Smart Sport ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu 2026.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,  Mwenyekiti wa timu hiyo, Rebecca Msemwa aliishukuru kampuni hiyo kwa msaada walioutoa, akisema utasaidia kuongeza morali kwa wanamichezo na kuboresha maandalizi ya timu.
Habari Picha 12113
Amesema timu hiyo hushiriki mashindano mbalimbali ya michezo na  maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanaendelea vizuri huku wakitarajia kufanya vizuri na kurejea na vikombe.
“Mashindano haya hutuweka pamoja na kutupa nafasi ya kushauriana mambo mbalimbali ya maendeleo ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki. Tunaomba wadhamini zaidi wajitokeze kwa kuwa mahitaji ya vifaa vya michezo bado ni makubwa,” amesma Msemwa.
Habari Picha 12114
Aidha, amewataka wachezaji kujitokeza kwa wingi mazoezini ili kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika mashindano hayo.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Smart Sport, George Wakuganda amesema kampuni hiyo imeamua kutoa msaada huo ili kusaidia maandalizi ya timu hiyo kwa kuamini kuwa vifaa bora vina mchango mkubwa katika ushindi.
“Lengo letu ni kuhakikisha wanamichezo wanakuwa na vifaa bora vitakavyowasaidia kufanya vizuri zaidi,” amesema Wakuganda.
Amesma Smart Sport imekuwa ikiunga mkono michezo mbalimbali nchini ikiwemo SHIMIWI, SHIMUTA pamoja na mashindano ya Mei Mosi, ambapo kampuni hiyo ilipata tuzo kutoka kwa Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho hayo.
Habari Picha 12115
Wakuganda amesema vifaa vilivyotolewa vinajumuisha jezi, mipira na vifaa vya michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, basketball, volleyball pamoja na mchezo wa kuvuta kamba.
“Kimsingi mahitaji ya msingi tumeyakidhi, sasa jukumu limebaki kwa timu kufanya vizuri katika mashindano,” amesema Wakuganda.

You Might Also Like

TAREWU Wapata Uongozi Mpya

TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo

Faru Weusi, Simba, Tembo Waongezeka Ngorongoro

Profesa Nombo Atembelea Banda la UDSM, 88 Dodoma

Rais Samia Awatega Wateule Wake

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ndoinyo Aishauri Serikali Kurejesha Utalii Vijijini
Next Article JWTZ Kulipa Fidia Wananchi Waliochukuliwa Maeneo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
Kisasa Design: Kampuni ya Kitanzania Inayobadilisha Sekta ya Interior Design na Utengenezaji wa Samani
Habari June 6, 2026
Vidukari Hatari Vyafuatiliwa Mikoa 17 Kulinda Zao la Mpunga
Makala June 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?