MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ruto: Uwekezaji wa NSSF Nairobi ni mfano bora wa matumizi ya akiba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ruto: Uwekezaji wa NSSF Nairobi ni mfano bora wa matumizi ya akiba
Habari

Ruto: Uwekezaji wa NSSF Nairobi ni mfano bora wa matumizi ya akiba

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Kenya, William Ruto ameusifu uwekezaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wa Tanzania unaoendelea jijini Nairobi, akieleza kuwa ni mfano bora wa matumizi sahihi ya akiba za wanachama katika kukuza uchumi na maendeleo ya kikanda.
Akihutubia Bunge  leo Jumanne Mei 5, 2026 jijini Dodoma, Ruto amesema uwekezaji huo unaonesha namna taasisi za ndani zinavyoweza kuwa chachu ya maendeleo siyo tu katika nchi zao bali pia ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki.
Habari Picha 11982
Amesema hatua ya NSSF kuwekeza nchini Kenya inaimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili, huku ikitoa fursa za ajira na kukuza sekta mbalimbali za uzalishaji.
Ruto amesisitiza kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii barani Afrika inapaswa kuendelea kuelekeza rasilimali zake katika miradi yenye tija, ili kuongeza thamani ya akiba za wanachama na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kikanda.
Habari Picha 11983

You Might Also Like

Serikali Yaahidi Kupatia Dawa Kilio Cha Ushuru Kwa Malori

Kamishna TFS Aongoza Kikao Cha Viongozi Wa Kamisheni ya Misitu Afrika

Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini

GST Yaelezea Mafanikio Yake

TUCTA Yafuatilia Hotuba Ya Waziri Mkuu Bungeni

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Aweso Aainisha Mikakati ya Kuboresha Huduma ya Maji
Next Article Dkt. William Ruto Aipongeza NSSF Tanzania Kwa Uwekezaji wa Dola zaidi ya Milioni 51 Nairobi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA  Yapongezwa Kwa Kuibua Vipaji Kwa Vijana  
Habari June 24, 2026
Kundi Kubwa La Wanafunzi Hukatisha Masomo Katika Ngazi Mbalimbali Ya Elimu -TEWW 
Habari June 24, 2026
TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma
Habari June 24, 2026
PURA Yasema Tanzania Inaendelea Kujivunia Uwepo Wa Gesi Asilia,Ni Nguzo Muhimu Katika Kuchochea Maendeleo
Habari June 24, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?