MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushirikiana  Kwenye  Miradi Ya Ujenzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushirikiana  Kwenye  Miradi Ya Ujenzi
Habari

TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushirikiana  Kwenye  Miradi Ya Ujenzi

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
WAKALA wa Majenga Tanzania (TBA)  umesema tayyari umeainisha maeneo kwa ajili ya uwekezaji na wanawaalika wawekezaji kushirikiana nao katika miradi ya pamoja katika maeneo hayo.
Ametaja maeneo  yaliyoainishwa kuwa ni pamoja na Mwanza,Arusha,Dodoma,Meya,Dar es Saala na Songwe.
Ofisa Uhusiano wa TBA,Renatus Sona amesema hayo leo wakati akizungumza katika banda la TBA lililoko katika maonesho ya  wiki ya Utumishi wa Umma  inayofanyika katika viwanja vya Chingangali Park mkoani humo.
Habari Picha 12454
Kuhusu uwekezaji amesema  wanatumia wiki ya utumishi wa  umma kukaribisha  wananchi na wawekezaji kushirikiana nao kutekelezw miradi mbalimbali .
Amesema katika banda hilo wapo wataalam mbalimbali wa ujenzi wanaotoa elimu kuhusu ujenzi wa majengo  na taarifa zaidi zinazohusu miradi ya wakala huo.
Sona amesema katika maonesho hayo wana kauli mbiu ya kuchochea uwajibikaji jumuishi katika kutoa huduma endelevu ambayo inaakisi kazi zao wanazofanya,
” Tunasimamia miliki za serikali, tunajenga na kusimamia miradi katika ujenzi na katika kazi zote za ujenzi tunafanya kwa umoja kila mmoja ana umuhimu wake  na ili jengo liweze kukamilika lazima liwe na mbunifu majengo,’ amesema na kuongeza kuwa sheria imefanyiwa marekebisho na sasa inaruhusu kufanya miradi kwa ubia.
Amesema  katika ubia huo ni miradi kushirikiana na Wakala huo, sekta binafsi na taasisi za kifedha, hivyo wanakaribisha wananchi na hata wawekezaji ili kushirikiana  katika miradi hiyo.
Ameongeza  kuwa kwa Dodoma ipo miradi mikubwa waliyonayo ukiwepo mradi mkubwa wa nyumba 3500 za makzi kwa ajili ya watumishi wa umma ambao unatekelezwa katika eneo la Nzuguni B na unatekelezwa kwa awamu.
Amesema kwa awamu ya kwanza wameshajenga nyumba 150 ambazo zimekamilika na tayari watumishi wa umma wameingia  na wanategemea kuzindua nyumba nyingine ambazo ziko katika hatua mbalimbali   za kukamilika.
Habari Picha 12455
” Pia tunaendelea na ujenzi wa nyumba  za serikali ,mradi ambao ni mkubwa ukiwa na ofisi  mbalimbali  za serikali ambao uko eneo la Mtumba,” amesema  na kuongeza kuwa  ipo miradi wanasimamia na kutoa ushauri ukiwemo wa Ruwasa ambao makao makuu yao yapo Njedengwa , mrari wa Tume ya madini na wa umwagiliaji.
Sona ametoa ushauri kwa wananchi kushiriki katika wiki hiyo kujifunza kuhusu  namna ya kujenga nyumba bora na kwa gharama nafuu.

You Might Also Like

Watumishi wa Umma Watakiwa Kuwa na Nidhamu, Ubunifu

Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo

Rafiki Planter’Teknolojia Rahisi, Tija Kubwa”

Jamii Yatakiwa Kuzungumza Pamoja Kuhusu Maji, Masuala ya Jinsia

Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TOSCI Inatoa Elimu Ya Kufahamu Mbegu Bandia
Next Article Mfumo Wa  PPAA Waongeza Ufanisi  Kusimamia Malalamiko Ya Zabuni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

WRRB YATOA FURSA MPYA KWA WAFUGAJI NCHINI
Habari June 19, 2026
Mfumo Wa  PPAA Waongeza Ufanisi  Kusimamia Malalamiko Ya Zabuni
Habari June 19, 2026
TOSCI Inatoa Elimu Ya Kufahamu Mbegu Bandia
Habari June 19, 2026
Jua Namba Zako Okoa Maisha Yako
Habari June 19, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?