MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari

Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WADAU  mbalimbali wameendelea kufurika katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane 2026 yanayoendelea Nzuguni, Dodoma, ambapo wanapata fursa ya kujionea mafanikio na utekelezaji wa miradi ya nishati safi ya kupikia inayotekelezwa na Wakala nchini.
Habari Picha 13108
Mbali na kupata elimu kuhusu teknolojia za nishati safi ya kupikia, wageni wanaotembelea banda la REA wanaelezwa kuhusu mchango wa miradi hiyo katika kulinda mazingira, kuboresha afya za wananchi, kupunguza matumizi ya kuni na mkaa, pamoja na kuongeza ustawi wa jamii.
REA inaendelea kuwakaribisha wananchi wote kutembelea banda lake ili kujionea huduma na fursa mbalimbali zinazotolewa na Wakala katika kuendeleza upatikanaji wa nishati endelevu nchini.

You Might Also Like

NHC Kuendelea Kutekeleza Miradi Mikubwa Ya Kimkakati Ya Ujenzi Wa Nyumba

SOKO LA MADINI LA 43 LA ZINDULIWA TUNDURU RUVUMA.

Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri

Luswetula Aagiza Udhibiti Mkali wa Mikopo Kandamizi

NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article FAO Yatoa Mafunzo Kwa Wadau Wa Uvuvi Kutumia Teknolojia Zinazoboresha Uzalishaji Mazao Ya Uvuvi
Next Article Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
FAO Yatoa Mafunzo Kwa Wadau Wa Uvuvi Kutumia Teknolojia Zinazoboresha Uzalishaji Mazao Ya Uvuvi
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?