MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mfumo Wa  PPAA Waongeza Ufanisi  Kusimamia Malalamiko Ya Zabuni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mfumo Wa  PPAA Waongeza Ufanisi  Kusimamia Malalamiko Ya Zabuni
Habari

Mfumo Wa  PPAA Waongeza Ufanisi  Kusimamia Malalamiko Ya Zabuni

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
 MAMLAKA  ya Rufani za Zabuni za Umma (PPAA) imesema  inahakikisha wazabun wanapata haki zao  zinazostahili kwa kutumia mfumo wa moduli ya kushughulikia malalamiko ya zabuni ulioanza kutumika rasmi Februari 2025.
Imesema  mfumo huo unaendelea kuongeza ufanisi, uwazi na kasi ya usikilizaji wa mashauri ya wazabuni .
Katibu Mtendaji wa PPAA, James Sando  amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Chinangali, jijini Dodoma,  na kuongeza kuwa  katika mwaka huu wa fedha mamlaka hiyo inapokea na kushughulikia malalamiko mengi ya wazabuni yanayowasilishwa kutoka taasisi mbalimbali za umma kupitia mfumo huo.
Amesema moduli hiyo inaunganisha taasisi zote za serikali pamoja na wazabuni wote waliosajiliwa katika mfumo wa NeST, hatua inayolenga kutatua changamoto zilizokuwa zikijitokeza katika usimamizi wa malalamiko ya zabuni.
” Kabla ya kuanzishwa kwa mfumo huo, wazabuni wanalazimika kutumia muda na gharama kubwa kufuatilia malalamiko yao kwa kufika ofisini, hali inayowaathiri katika shughuli zao za biashara,” amesema.
Amesema hata hivyo, kupitia moduli hiyo, mzabuni sasa anaweza kufuatilia hatua ya shauri lake kwa njia ya mtandao na kujua kwa uwazi taasisi inayolishughulikia.
Ameongeza kuwa mfumo huo pia unaondoa changamoto ya upatikanaji wa nyaraka, kwani taarifa zote zinazohusiana na zabuni zinahifadhiwa ndani ya moduli. Hali hiyo inawezesha PPAA kupata nyaraka zinazohitajika kwa wakati, hivyo kufanya maamuzi kwa haraka, kwa ufanisi na kwa kuzingatia misingi ya haki.

You Might Also Like

Benjamini Mkapa Yapandikiza Mimba 21, Watano Waongezewa Nguvu Za Kiume

Nchemba Afungua Mafunzo Ya PAC

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma

VETA Yawasilisha Teknolojia ya Hybrid Katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushirikiana  Kwenye  Miradi Ya Ujenzi
Next Article WRRB YATOA FURSA MPYA KWA WAFUGAJI NCHINI
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?