MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TALGWU Yaipongeza Timu Ya Makatibu Wa Mikoa Na Mawakili Wa Kanda Kwa Kutoa Huduma Bora Kwa Wanachama
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TALGWU Yaipongeza Timu Ya Makatibu Wa Mikoa Na Mawakili Wa Kanda Kwa Kutoa Huduma Bora Kwa Wanachama
Habari

TALGWU Yaipongeza Timu Ya Makatibu Wa Mikoa Na Mawakili Wa Kanda Kwa Kutoa Huduma Bora Kwa Wanachama

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi wetu
DODOMA: CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kimewapongeza Makatibu wa Mikoa na Mawakili wa Kanda kwa utendaji wao katika kutoa huduma kwa Wanachama, huku kikitaja mchango wao kuwa ni sehemu kuu ya utekelezaji wa majukumu ya Chama nchini.
Pongezi hizo zilitolewa na Mwenyekiti  TALGWU Taifa na Rais wa TUCTA, Cde. Tumaini Nyamhokya wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kupanga malengo ya utendaji kwa mwaka 2026 yaliyofanyika jijini Dodoma.
Habari Picha 11137
Mafunzo hayo ya siku tatu, yalianza Februari 05, 2026 na kufungwa jana Februari 07, 2026, yalilenga kuongeza ufanisi wa watendaji katika utekelezaji wa majukumu yao na kuhakikisha Watendaji hao wanaendelea kutoa huduma bora kwa Wanachama.
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo, Cde. Nyamhokya amesema TALGWU inajivunia kuwa na watendaji wenye weledi na wanaotekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
Habari Picha 11138
Ameongeza kuwa mchango wa watendaji hao umeimarisha imani ya Wanachama, kuongeza mshikamano katika Chama na kuweka misingi thabiti ya utekelezaji wa malengo ya mwaka 2026.
Habari Picha 11139
Habari Picha 11140
Habari Picha 11141

You Might Also Like

Vijana Ni Chachu Ya Maendeleo Endelevu Wakiwezeshwa-Kikwete

Rais Samia Akabidhi Tuzo Kwa NSSF Ya Usimamizi,  Uratibu Wa Hifadhi Ya Jamii Kw Sekta Binafsi

VETA Kujenga Mahusiano Na Wenye Ujuzi, Wabunifu

BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji

Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dkt. Ikomba Wa CWT Asema, Walimu Wanafanya Kazi Zaidi Bila Kulipwa Stahiki Zao
Next Article Serikali Yazindua Soko Kuu Jipya la Kariakoo Baada ya Moto wa 2021
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Habari August 24, 2026
VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?