MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu
Habari

Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu

Author
By Author
Share
4 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

SERIKALI imesema    bado kuna changamoto ya ufaulu kwa baadhi ya masomo nchini hususani somo la hisabati na kuwataka wadau wote wanaohusika kuongeza jitihada.
Imesema somo la Hisabati limekuwa shida ya Taifa na kuomba  Baraza La Mtihani La Tanzania  (NECTA) Kwa pamoja na wadau wote wa elimu nchini  kuongeza juhudi ili kuondoa kadhia hiyo.
Naibu Waziri  wa Elimu ,Sayansi Na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir  amesema hayo Leo jijini Dodoma katika hafla ya uwasilishaji wa taarifa ya tathmini ya  ufundishaji na ujifunzaji  ngazi ya elimu msingi .
Habari Picha 11794
Taarifa hiyo imewasilishwa na NECTA, na kuwahusisha wadau mbalimbali wa elimu wakiwemo wadhibiti ubora wa elimu,, maofisa elimu mkoa, Wilaya,kata, walimu  Wakuu, walimu pamoja na wadau mbalimbali.
Akizungumza Wanu amesema  kutokana na tafiti hizo kila baada ya muda Taifa linahitaji kuimarika kwenye ufaulu wa masomo mbalimbali na kwamba ipo haja ya  wadau  kuongeza ushirikiano katika hatua hiyo.
Habari Picha 11790
“Somo la hesabu ni shida ya Taifa,kuna haja ya  kuwepo Kwa hatua ambazo  zitafanyika Ili kuondoa kadhia hiyo,” amesema Wanu na kuongeza kuwa hata yeye binafsi somo hilo lilimpa shida sana lakini familia iligundua anaweza kusoma taaluma nyingine ya sheria.
Amesema pamoja na tafiti kuonesha kuimarika Kwa ufaulu Kwa baadhi ya masomo lakini pia walimu Wakuu wazingatie ufundishaji wa umahiri na matumizi ya lugha yazingatiwe huku wazazi pia wakishiriki katika kuongeza ufaulu.
Wanu ameipongeza NECTA Kwa kufanya tathmini hiyo na kwamba kazi ni nzuri inayohitaji   majibu ya tafiti   hiyo Kufanyiwa kazi ili kuimarisha  ufaulu nchini.
Amesema mapendekezo yaliyotolewa yamechukuliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi Na Teknolojia na kwamba yatafanyiwa kazi ili Kwa tathmini hiyo matokeo yawe yamepuga hatua.
Akiwasilisha tathmini hiyo,Katibu Mtendaji wa NECTA,Profesa Said Ally Mohamed amesema  tafiti ni jambo muhimu inayolifanya Taifa kujitambua liko katika hali gani kwenye ufaulu wa Wanafunzi nchini.
Amesema  hali ya ufaulu haijabadilika na kwamba Kwa mwaka jana Baraza limepima kupitia mtaala mpya ambapo kwa sasa wanafunzi wote wa darasa la tatu wasiojua kusoma na kuandika wametambuliwa  na kwamba haitarajiwi kufika darasa la nne wakiwa bado na hali hiyo.
Amesema  wanafunzi hao wanajulikana   kuanzia shuleni,kata husika,Wilaya ,mkoa na Taifa  hivyo asilimia hiyo 10 ya wasiojua kusoma na kuandika wapewe masomo ya ziada wakiwa darasa la tatu  na sio kusubiria kufika darasa la nne.
Habari Picha 11797
” Kwa mantiki hiyo  itakuwa ni aibu endapo watakuwepo wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika watakaofika darasa la Saba Kwa kuwa wametambuliwa mapema,” amesema Profesa Said na kuongeza kuwa Kwa kidato cha sita hali imeendelea kuwa bora na kwamba wanafaulu Kwa kiwango cha juu huku somo la Kiwashili likifanya vizuri Kwa kidato cha pili na nne.
Profesa Said ameongeza kuwa somo la Kiingereza Kwa kidato cha pili limeendelea kuimarika mwaka hadi mwaka  huku masomo ya sanaa ufaulu ukianzia chini lakini kufikia kidato cha nne ukiimarika.
“Kwa mantiki hiyo mtihani ya upimaji inayofanywa  kimkoa na kitaifa  unasaidia lakini Kwa somo la Hisabati hakuna mkoa ambao ufaulu wake umeweza kufikia asilimia 40,” amesema.

You Might Also Like

Kagae: Waziri Mkuu Ajaye Atamsaidia Rais Samia Kuongeza Kasi ya Maendeleo

Kasulu Yaandaa Bonanza La Michezo Kuhamasisha Uchaguzi Mkuu, Mapokezi Ya Mwenge

Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.

TSLB Yatakiwa Kuimarisha Huduma za Kidijitali Ili Kukidhi Mahitaji ya Karne ya 21

Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ofisi ya Rais Mipango Yaomba Bilioni 144.85 kwa Bajeti 2026/27
Next Article Makampuni 100 kushiriki maonesho ya OSHA Njombe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Habari April 17, 2026
Makampuni 100 kushiriki maonesho ya OSHA Njombe
Habari April 17, 2026
Ofisi ya Rais Mipango Yaomba Bilioni 144.85 kwa Bajeti 2026/27
Habari April 16, 2026
WASICHANA WAANDIKA HISTORIA MPYA KWENYE MASOMO YA SAYANSI MKOANI SONGWE
Makala April 16, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?