MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji
Habari

BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

DODOMA: MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mji wa Bunda (BUWSSA),kwa muda wa miaka minne  imepitishiwa miradi ya thamani ya Sh. Bilioni 28.1, mpaka sasa  Sh.Bilioni 11.89 tayari zimepokelewa, baadhi ya miradi imekamilika na mingine utekelezaji unaendelea.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa BUWSSA Esther Gilyoma alipokuwa akielezea mafanikio ya kipindi cha miaka minne  ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma.
Esther amesema miongoni mwa miradi iliyokamilika ni pamoja na wa ujenzi wa chujio la maji Nyabehu – Bunda ambao umegharimu Sh.Bilioni 10.6 , katika mradi huo wananchi 227,446 wananufaika.
Pia amesema  Mradi wa Miundombinu ya Majitaka Butakale – Bunda utekelezaji wake umefikia asilimia 46 na unagharimu Sh.Bilioni 1.72 huku wananchi 227,446 wanatarajiwa kunufaika.
Alitaja mradi mwingine ni ujenzi wa Maji Balili, Rubana na Kunzugu – Bunda umekamilika na umegharimu Sh.Milioni 759.8 na wananchi 7,699 wamenufaika.
Mradi wa Ujenzi wa Maji Manyamanyama Mugaja – Bunda, umekamilika ambao umegharimu Sh.Bilioni 1.13 na wananchi 7,012 wamenufaika.
Amesema kuwa Mradi wa ujenzi wa maji Misisi- Zanzibar Mjini Bunda umegharimu Sh.Milioni 733.24 na wananchi 7,042 wamenufaika na huduma ya majisafi na salama huku Mradi wa Kusambaza maji Wariku utekelezaji wake umefikia asilimia 40 na wananchi 33,088 wanatarajiwa kunufaika.
Pamoja na miradi hiyo, amesema kuna Mradi wa kusambaza maji Kisangwa umegharimu Sh.Milioni 716 na wananchi 20,688 wanatarajiwa kunufaika ambapo utekelezaji umeanza na upo asilimia sita.
Mradi wa kusambaza maji Migungani Kaswaka unagharimu Sh.Bilioni 1.2 na watanufaika wananchi 37,058, Mradi wa kusambaza maji Nyamswa Bunda utagharimu Sh.Bilioni 8.3 na watanufaika wananchi 51,935.
Mkurugenzi huyo amesema.Mamlaka ina mipango mbalimbali kwa ajili ya kuhakisha huduma inazidi kuinaimarika mjini Bunda kwa mwaka wa fedha 2025/26 .

 

.

You Might Also Like

Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba

Serikali Inatoa Kipaumbele Kufikisha Umeme Taasis Zinazotoa Huduma Kwa Jamii- Kapinga

Chalamila: Serikali Imewekeza Kupatikana Wataalamu Wa Usingizi, Yapunguza Vifo Vinavyotokana Na Upasuaji

Ridhiwani Aongoza Majadiliano Ya Taarifa Ya Utekelezaji Wa Majukumu PSSSF

HATUNA HURUMA NA WADANGANYIFU KWENYE MITIHANI – WAZIRI MKENDA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article MNH Kuvuna Mifupa Kutengeneza Taya
Next Article Watumishi Wanawake Wa TEA wajitoa Kwa Jamii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tanzania yaendelea kuwa Shule ya Utumishi Barani Afrika,
Habari April 29, 2026
Wizara Ya Kilimo Yaomba Bunge Kuidhinisha Trilioni 1.1,Yaweka Mikakati Kuimarisha Sekta Hiyo
Habari April 28, 2026
NSSF Yafikia Trilioni 11.2, Hifadhi Skimu Yatajwa Kubadili Maisha ya Watanzania
Habari April 27, 2026
TUCTA: Waajiri Watekeeze Nyongeza Ya Kima cha Mishahara Sekta Binafsi
Habari April 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?