MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Silaa Atembelea Banda La NEMC, Wiki Ya Anwani Za Makazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Silaa Atembelea Banda La NEMC, Wiki Ya Anwani Za Makazi
Habari

Silaa Atembelea Banda La NEMC, Wiki Ya Anwani Za Makazi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kwamba anwani za Makazi zimerahisisha kutekeleza majukumu yake katika kutambua na kuwafikia wadau wake muhimu wa mazingira.
Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kati Novatus Mushi ameeleza hayo wakati Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa alipotembelea banda la NEMC katika Maonesho ya Wiki ya Anwani za Makazi yanayoendelea jijini Dodoma.
Mushi amesema anwani hizo za makazi zimerahisisha hasa kwenye shughuli za utoaji wa elimu na kufanya ukaguzi wa Mazingira kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo miradi ya maendeleo.
Vile vile imerahisisha katika kushughulikia malalamiko ya wananchi hususani changamoto ya sauti zinazozidi viwango, hivyo anwani za Makazi zimekuwa zikisaidia NEMC kufika kwa urahisi katika maeneo yanayolalamikiwa.
NEMC linashiriki Maonesho ya Wiki ya Anwani za Makazi yaliyozinduliwa rasmi na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa  leo Februari sita, hadi Februari nane, 2025.

You Might Also Like

Tanzania Kuwa Mwenyeji Wa Mkutano Wa Petroli Afrika

PSPTB Yatangaza Usajili wa Mitihani ya 31 ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi

Mgombea Udiwani Manyoni Adhalilishwa, Rushwa Yadaiwa Kuvuruga Kura Za Maoni

Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe

Bodi Ya Wadhamini Ya NSSF Yaridhishwa Na Uwekezaji Wa Ubia Na Jeshi La Magereza

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Takukuru Kinondoni Yapokea Malalamiko 46 Kuhusu Rushwa
Next Article BRELA Yazindua Baraza La Wafanyakazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?