MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Katibu Mkuu Uchukuzi Aipongeza TASAC,  Kuelimisha Wananchi 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Katibu Mkuu Uchukuzi Aipongeza TASAC,  Kuelimisha Wananchi 
Habari

Katibu Mkuu Uchukuzi Aipongeza TASAC,  Kuelimisha Wananchi 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa Godius Kahyarara, leo Juni 22, 2026 ametembelea banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika Maonesho yanayoendelea kwenye viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.
Akiwa katika banda hilo, Profesa Kahyarara alipatiwa maelezo kuhusu juhudi za TASAC katika kuhakikisha usalama, ulinzi na ubora wa huduma za usafiri wa majini kwa wananchi.
Habari Picha 12582
Baada ya kupata maelezo hayo, Profesa Kahyarara aliipongeza TASAC kwa kushiriki maonesho hayo na kutumia jukwaa hilo kutoa elimu kwa wananchi kuhusu majukumu na huduma zake.
Amesema elimu hiyo inasaidia kuongeza uelewa wa umma na kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi na wananchi.
Maonesho hayo yenye kauli mbiu isemayo “Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu” yalianza rasmi Juni 16, 2026 na yanatarajiwa kufikia tamati kesho Juni 23, 2026.

You Might Also Like

REA Yaupamba Mkutano Wa Kikanda Wa Nishati Bora 2024

Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT

Wafanyakazi wa Majumbani Wajengewa Uwezo 

Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA

Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Qwaray Aipongeza VETA kwa Kukuza Ujuzi wa Vijana
Next Article ‎NIRC Imechimba Visima 362, , Yahamasiha Wakulima Kunufaika Na Program Ya Umwagiliaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?