MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wafanyakazi wa Majumbani Wajengewa Uwezo 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wafanyakazi wa Majumbani Wajengewa Uwezo 
Habari

Wafanyakazi wa Majumbani Wajengewa Uwezo 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAFANYAKAZI wa majumbani kutoka mikoa mbalimbali nchini pamoja na Waandishi wa Habari, wamejengewa uelewa juu ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi.
Pia wamejengewa uwezo juu ya  mapambano dhidi ya virusi UKIMWI.
Shirika la Kazi Duniani ( ILO), kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA) pamoja na Chama cha Wafanyakazi na Hifadhi, Majumbani, Huduma mbalimbali na Ushauri ( CHODAWU), wameendesha warsha hiyo kwa kada hizo.
Warsha hiyo imeendeshwa katika maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi.
Taarifa iliyotolewa imeeleza Waratibu waliofanikisha na kuwezesha katika warsha hiyo ni Meneja wa Mradi  kutoka ILO. Chiku Semfuko,  Asteria  Mathias kutoka CHODAWU, pamoja na Joseph Mukoji kutoka shirika la WoteSawa.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA),  Usekelege Mpulla ndiye amekuwa Mgeni Rasmi akiambatana na Mkurugenzi wa ILO Afrika Mashariki, Caroline Mugalla na Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA, Rehema Rudanga.
Mpulla wakati akifungua warsha hiyo  amewapongeza  ILO kwa kuiandaa kwa wafanyakazi wa majumbani, ambayo itasaidia kubadili mitazamo ya jamii kuhusu kundi hilo muhimu.
Naye Mkurugenzi wa ILO, Carolline amesema kutokana na umuhimu wa mafunzo hayo, ametoa wito kwa mafunzo ya namna hiyo kuhusisha pia waajiri wa wafanyakazi wa nyumbani, kwa wakati ujao.

You Might Also Like

Rais Samia afungua kikao kazi cha watendaji serikalini

Benki Ya Dunia Kujenga Mradi Wa Njia Ya Kusafirisha Umeme Wa KV 400  Kutoka Uganda-Tanzania  

Wataalam wa “Visit Finland” Wabadilishana Uzoefu Kutangaza Utalii Duniani 

Waziri Ridhiwani Awataka Wafanyakazi Kuongeza Bidii Katika Kazi

Majaliwa Aagiza Sera Ya Elimu Kusimamiwa Kikamilifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Spika Tulia Aunguruma UDSM, Kongamano La Uhuru Wa Wana Taaluma Afrika.
Next Article Profesa Kabudi Amimina Pongezi TEA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mradi Wa Umeme Mpomvu-GGM Kuimarisha Upatikanaji Wa Umeme Na Kuchochea Shughuli Za Kiuchumi Geita- Salome
Habari September 4, 2026
Wahitimu 794 Wa Vyuo Vya Elimu Ya Juu Waomba Kujiunga VETA
Habari September 4, 2026
Taka za saluni zageuka dhahabu ya kijani: COSTECH yamulika safari ya David kutoka wazo hadi hataza
Makala September 4, 2026
Umeme Kubadilisha Maisha Ya Wakazi Wa Kisiwa Cha Jibondo Mafia
Habari September 3, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?