MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: ‎ ‎EWURA  Yatoa  Leseni Za Mafundi Umeme  Zaidi Ya 1000
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > ‎ ‎EWURA  Yatoa  Leseni Za Mafundi Umeme  Zaidi Ya 1000
Habari

‎ ‎EWURA  Yatoa  Leseni Za Mafundi Umeme  Zaidi Ya 1000

Author
By Author
Share
3 Min Read
‎
Na Lucy  Lyatuu,Dodoma
‎MAMLAKA ya Udhibiti Wa Huduma Za Nishati Maji (EWURA) ,Idara ya umeme imesema katika mwaka wa fedha 2025/26 imetoa leseni zaidi ya 1002 Kwa mafundi umeme ambao wanastahili kufanya kazi hizo.
Aidha  imewataka Wananchi kutumia mafundi umeme wanye leseni za Mamlaka hiyo,Ili kuepuka changamoto zitokanazo na hitilafu za umeme.
Mhandisi wa Mamlaka hiyo,Idara ya Umeme,Lulu Chilumba  amesema hayo katika Banda la Mamlaka hiyo lililoko katika viwanja vya Bunge ikiwa ni kuadhimisha wiki ya Nishati 2026,wakati Katibu Mkuu Wizara Ya Nishati, (anayeshughulikia mafuta na Gesi) Dkt James Mataragio alipotembelea Banda hilo.
Habari Picha 11867
Amesema kupitia Shirika La Umeme Tanzania (TANESCO) mafundi hao wanaweza kupatikana na kusadia jamii kuepuka changamoto za hitilafu.
‎Kaimu Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA,  Wilfred Mwakalosi, amesema katika jitihada za kutatua changamoto zinazoikumba sekta ya nishati nchini,  EWURA, imeelekeza nguvu zake Bungeni kwa kusogeza huduma, elimu na majibu ya moja kwa moja kwa wabunge wanaowakilisha wananchi.
‎
‎Kupitia banda lake katika Wiki ya Nishati, EWURA inalenga si tu kutoa elimu, bali pia na kutatua hoja zinazotoka moja kwa moja kwenye maeneo ya wananchi.
Habari Picha 11868
‎
‎“Hapa tunakutana na wabunge ambao ndio wawakilishi wa wananchi. Tunajibu maswali yao, lakini pia tunapokea maoni yatakayosaidia kuboresha huduma za nishati,” amesema.
‎
‎Kuhusu Upatikanaji na Ubora wa Mafuta  Ibrahim Kajugusi amesema EWURA ina jukumu la kuhakikisha mafuta yanapatikana kwa uhakika na kwa viwango vinavyokubalika.
‎Ameeleza kuwa mamlaka hiyo pia imerahisisha utoaji wa leseni kwa wafanyabiashara ili kusogeza huduma hadi maeneo ya vijijini.
‎
Kuhusu Gesi Asilia  Mhandisi Evaline Rweikiza amesema matumizi ya gesi asilia yanaendelea kuongezeka, hasa katika magari na matumizi ya majumbani.
‎Amebainisha kuwa kwa sasa vituo 18 vya kujazia gesi vipo nchini, huku juhudi zikiendelea kupanua huduma hiyo nje ya Dar es Salaam ikiwemo Dodoma.
‎“Gesi asilia ni nafuu na inalinda mazingira, hivyo tunahamasisha matumizi yake kwa wananchi,” amesema.
Habari Picha 11869
‎
‎Uwepo wa EWURA Bungeni umeonekana kuwa jibu la moja kwa moja kwa changamoto za nishati zinazowakabili wananchi, huku ukitoa nafasi kwa wabunge kuwasilisha kero za maeneo yao na kupata majibu ya papo kwa papo ambapo hatua hiyo inaashiria mwelekeo mpya wa uwajibikaji na ushirikishwaji katika kusimamia sekta nyeti ya nishati nchini.
‎

You Might Also Like

Balozi Sirro: Bila Amani, Maendeleo Hayapo Kigoma

KINABO: NICHAGUENI NILETE MAJI, BARABARA KIBAMBA

Mafanikio Ya TEA Kwa Serikali Awamu Ya Sita;Miradi Ya Elimu 3,768 Yatekelezwa, Bil. 49.5 Zatumika

Rais Samia Amehakikisha Elimu Ya Ufundi Stadi Inafikia Vijana Wote – Mkenda

Ridhiwani Kikwete Kuzindua Miradi ya Maendeleo Songwe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wizara Ya Nishati Kutekeleza Dira Ya Taifa 2050,Kuhamasisha Matumizi Ya  Nishati Safi
Next Article Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kisasa Design: Kampuni ya Kitanzania Inayobadilisha Sekta ya Interior Design na Utengenezaji wa Samani
Habari June 6, 2026
Vidukari Hatari Vyafuatiliwa Mikoa 17 Kulinda Zao la Mpunga
Makala June 5, 2026
KARIBU ESCAPE LODGE SERENGETI – NYUMBA YAKO YA KIFAHARI KATIKATI YA UFALME WA WANYAMAPORI
Habari June 5, 2026
Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Habari May 29, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?