MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Maganga Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu, Maonesho Ya Wiki Ya Vijana Mbeya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Maganga Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu, Maonesho Ya Wiki Ya Vijana Mbeya
Habari

Maganga Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu, Maonesho Ya Wiki Ya Vijana Mbeya

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MBEYA: KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mary Maganga,  ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Uhindini, jijini Mbeya.
Maonesho hayo ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa kwa mwaka 2025, yakiongozwa na kaulimbiu: ‘Nguvu Kazi ya Vijana kwa Maendeleo Endelevu’.
Habari Picha 9839
Maganga amejionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, pamoja na kujadiliana na vijana kuhusu fursa zilizopo katika maeneo ya ajira, ujasiriamali na ushiriki wa vijana katika maendeleo ya taifa.
Maadhimisho haya yanalenga kuhamasisha ushiriki wa vijana katika shughuli za kijamii na kiuchumi, sambamba na kuonesha mchango wao katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu nchini.
Habari Picha 9840
Habari Picha 9841
Habari Picha 9842
Habari Picha 9843

You Might Also Like

Wakulima wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea

Dkt. Komba: Mfumo wa kidijitali utaleta tija kwa mkulima

Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe

Wanafunzi UDSM, MUM Kushiriki Fainali Ya Kimataifa Mashindano Ya Chinese Brigde

Kapinga Afichua Fursa Kubwa za Ajira na Biashara kwa Vijana Nchini Tanzania

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TUCTA Yaitaka Jamii Kuwapa Nafasi Vijana Wenye Changamoto za Kimwili
Next Article Majaliwa: Jiungeni NHIF Kupata Matibabu Ya Uhakika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TRAB Yaelimisha  Wananchi Hatua Wanazoweza Kuchukua Wasiporidhishwa Na Masuala Ya Kodi
Uncategorized August 29, 2026
VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Habari August 28, 2026
“Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Habari August 28, 2026
VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Habari August 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?