MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Majaliwa: Jiungeni NHIF Kupata Matibabu Ya Uhakika
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Majaliwa: Jiungeni NHIF Kupata Matibabu Ya Uhakika
Habari

Majaliwa: Jiungeni NHIF Kupata Matibabu Ya Uhakika

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MBEYA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora za matibabu.
Akizungumza leo jijini Mbeya alipotembelea banda la NHIF katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa, Waziri Mkuu amesema uwepo wa mfuko huo kwenye maonyesho hayo ni wa msingi kwa kuwa unawafikia vijana wengi.
Habari Picha 9847
“Ni muhimu wananchi wakajiunga na NHIF ili wawe na uhakika wa matibabu kabla ya kuugua. Sekta ya afya ni ya kipaumbele, ndiyo maana Serikali imeweka bima ya afya kwa wote,” amesema.
Aidha, ameutaka mfuko huo kuendeleza jitihada za kutoa elimu na kuhamasisha makundi mbalimbali kama waendesha bodaboda, bajaji, wafanyabiashara na vijana kwa ujumla kujiunga na bima hiyo.
Kwa upande wake, Meneja wa NHIF Mkoa wa Mbeya, Dkt. Eliud Kilimba, amesema lengo la ushiriki wao kwenye maonyesho ni kutoa elimu kwa vijana na wananchi kuhusu faida za kujiunga na mfuko huo.
Habari Picha 9848
“Tupo hapa kutoa elimu kuhusu NHIF na kumuwezesha mtu kujiunga moja kwa moja hapa uwanjani. Tunasisitiza umuhimu wa kuwa na bima kabla ya kuugua,” amesema Dkt. Kilimba.
Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yanaendelea jijini Mbeya, yakilenga kuwajengea vijana uelewa katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

You Might Also Like

Asisitiza Umuhimu Wa Kukamilisha Miradi Kwa Mujibu Kuzingatia Mikataba

TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushiriki Miradi Mikubwa ya Ujenzi

TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili

MWALIM AOMBA WATANZANIA KUMWOMBEA WIKI YA MWISHO KUELEKEA UCHAGUZI

Serikali Kuendelea Kutatua Changamoto Sekta Ya Uwekezaji Nchini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Maganga Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu, Maonesho Ya Wiki Ya Vijana Mbeya
Next Article Zimamoto Mbeya Watoa Elimu Ya Kukabiliana Na Majanga Ya Moto Kwenye Wiki Ya Vijana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TPHPA Yatumia Mbinu za Kibaiolojia Kudhibiti Gugu Ziwa Victoria
Habari May 24, 2026
Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati
Habari May 22, 2026
Biashara 15 Hazitakiwi Kufanywa Na Wageni Ndani Ya Nchi
Habari May 22, 2026
Wadau wataka mifumo jumuishi kupunguza mzigo wa malezi kwa wenye ulemavu
Habari May 21, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?