MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Habari

VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Morogoro

MAMLAKA Ya Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi Stad (VETA) Dakawa Morogoro imeandaa mpango maalum wa kufundisha wafugaji ili kutunza vizuri mifugo jambo litakalosaidia kipandisha thamani ya ngozi.
Mwalimu Wa Bidhaa Za Ngozi kutoka VETA Dakawa Morogoro,Hamidu Nahembe amesema hayo wakati akizungumza katika banda la Mamlaka hiyo lililoko kwenye tamasha la nne la kitaifa la utamaduni linalofanyika mkoani Morogoro.
Amesema kupitia tamasha hilo wanaelimisha wananchi kuhusiana na utamaduni kupitia fani ya ngozi,ambapo VETA inafundisha vijana kuhusu maadili yanahoihusu ngozi  katika kukuza utamaduni.
Habari Picha 13506
Habari Picha 13507
Habari Picha 13508
” Tumekuja pia  kueleza wafugaji kuhusu umuhimu wa utamaduni kuhusu namna ya kutunza ngozi jambo litakalopandisha hadhi na thamaninya ngozi hata katika bidhaa zitokanazo na ngozi”, amesema na kuongeza kuwa thamani ya ngozi hupanda pale mifugo inapotunzwa vizuri.
Amesema wafugaji hawatakiwi kuweka alama kwa mfugo katika sehemu zisizofaa akitolea mfano kutowekwa kwa vifaa ambavyo vinaweza kukwaruza mifugo ovyo badala yake wawatumie watalaam kupata elimu ya.msingi na maelekezo ya maeneo yanayostahili kuweka alama
Nahembe amesema alama zinawekwa sehemu zisizoleta madhara  ambazo ni pamoja na  mwisho wa mguu ama kwenye sikio, hivyo wanakumbusha wafugaji kujenga mabanda ambayo ni bora yanayotunza vizuri ngozi za wanyama wao.
Kadhalika amewataka kutojenga mabanda yenye seng’enge kwa kuwa yanaweza kukwarua ng’ombe kwenye miili yao na kufifisha ubora wa ngozi au kujenga mabanda yenye miiba ambayo sio salama kwenye ubora wa ngozi wajenge ya mabanzi.
Amesema ni muhimu mfugaji kutambua kuwa ngozi moja inaweza kutoa viatu pea 15 hadi 20 hivyo inaweza kusababisha kupafa faida hadi sh 600,000,jambo ambalo wafugaji hawalijui.
Kuhusu tamasha hilo amesema wana bidhaa zilizoboreshwa na kwamba vyema kupata watalam huo na kupata ngozi yenye thamani na  ubora.

You Might Also Like

Waziri Kijaji: Huduma ya Kudungwa na Nyuki Kuongeza Kinga Yavutia Bungeni

Rais Samia Aungwe Mkono Ajenda Ya Nishati Safi Ya Kupikia-Makongoro Nyerere

Tume Ya Madini Kufuta  Leseni 40 Za Utafutaji Madini 

TEITI Yashiriki Maonesho ya Nane ya Uwekezaji Sekta ya Madini Geita

Nchemba Afungua Mafunzo Ya PAC

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article “Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

“Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Habari August 28, 2026
VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Habari August 28, 2026
TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Habari August 27, 2026
PBPA Yashiriki Tamasha La Nne La Kitaifa La Utamaduni
Habari August 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?