MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TRAB Yaelimisha  Wananchi Hatua Wanazoweza Kuchukua Wasiporidhishwa Na Masuala Ya Kodi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TRAB Yaelimisha  Wananchi Hatua Wanazoweza Kuchukua Wasiporidhishwa Na Masuala Ya Kodi
Habari

TRAB Yaelimisha  Wananchi Hatua Wanazoweza Kuchukua Wasiporidhishwa Na Masuala Ya Kodi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Morogoro
BODI Ya Rufani za Kodi (TRAB) imesema imetumia Tamasha la Nne la Kitaifa la Utamaduni linalofanyika mkoani Morogoro kuelimisha wananchi hatua wanazoweza kuchukua iwapo hawajaridhishwa na masuala ya kikodi.
Aidha imetoa elimu  kuhusu taratibu, haki na wajibu wa mlipa kodi, hususan namna ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi ya kikodi.
Ofisa kutoka TRAB, Mabel  Nasua, amesema elimu hiyo inalenga kuwawezesha wananchi kuelewa ni taratibu gani zinazotakiwa kufuatwa iwapo atakuwa na changamoto yoyote ya kikodi.

Habari Picha 13514
Habari Picha 13515
Ameeleza kuwa TRAB pia imekuwa ikitoa ufafanuzi kuhusu gharama zinazohusiana na mchakato wa rufaa, ambapo wananchi wanapaswa kufahamu ada mbalimbali zinazotozwa katika hatua za kuwasilisha na kusikiliza rufaa zao.
Aidha, amesisitiza kuwa mtu anayekata rufaa anatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa na Sheria ya Rufani za Kodi, ikiwemo kuwasilisha nyaraka zinazohitajika na kuhudhuria mchakato wa usikilizwaji wa shauri lake.
Kwa mujibu wa  Nasua Kutofuata masharti hayo kunaweza kuathiri rufaa yake.
Kadhalika amesema mlipa kodi anayepinga uamuzi wa mwisho wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) anaweza kukata rufaa kwa kuwasilisha kusudio la kukata rufaa kwa maandishi ndani ya siku 30 tangu siku aliyopokea notisi ya uamuzi huo.
Habari Picha 13516
Habari Picha 13517
    • Habari Picha 13518
Hata hivyo TRAB imewahimiza wananchi kutumia fursa ya elimu inayotolewa katika matamasha na maonesho mbalimbali ili kufahamu haki zao za kikodi na namna sahihi ya kuzitetea, huku ikisisitiza umuhimu wa wananchi kupata ushauri na kufuata taratibu rasmi badala ya kukata tamaa wanapokumbana na changamoto za kikodi.

You Might Also Like

TADB Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wananchi na Wanafunzi Tanga

EAC Iweke Ushindani Kuongeza Thamani Ya Malighafi

CCM Kuwezesha Wananchi Kufuatilia Mkutano Mkuu Maeneo Ya Wazi

Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza Januari 13, 2026 Dodoma

Serikali Yaendesha Warsha Kujenga Ushirikiano Na washirika Wa Maendeleo  

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Habari August 28, 2026
“Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Habari August 28, 2026
VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Habari August 28, 2026
TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Habari August 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?