MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mashimba: Tumieni Siku Zilizobaki Kujiandikisha
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mashimba: Tumieni Siku Zilizobaki Kujiandikisha
Habari

Mashimba: Tumieni Siku Zilizobaki Kujiandikisha

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
KIGOMA: IKIWA zimebakia siku mbili kabla ya kufungwa kwa uandikishwaji katika Daftari la Mkazi Oktoba 20, 2024 wananchi wametakiwa kutumia muda ulobaki kujiandikisha.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Dkt. Semistatus Mashimba  amewataka wananchi hao kujiandikisha ili waweze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.
Amesema hayo alipokuwa akizungumza katika Kituo Kimoja cha Radio, mkoani Kigoma.
Amesema licha ya msimu huu kuwa wa kilimo mkoani hapo,mchakato wa uandikishaji unaendelea vizuri.
“Mwanzoni uandikishwaji ulikuwa  na changamoto kwa sababu baadhi ya wananchi walijikita kwenye maandaizi ya kilimo  ili kuandaa mashamba yao,
Lakini hivi sasa uandikishwaji unaaendelea vizuri kwa wananchi kwenda kujiandikisha katika vituo mbalimbali tofauti na ilivyokuwa hapo mwanzoni.
Pia amesema idadi ya kujiandikisha kwa vijana ilikuwa si ya kuridhisha lakini kupitia hamasa mbalimbali zilizofanywa kwa sasa idadi yao inaridhisha tofauti na  awali.

You Might Also Like

VETA Yawawezesha Vijana Wenye Mahitaji Maalum Kung’ara Katika Fani za Ufundi

Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika

Mwenyekiti Wa Kijiji Aahidi Kufuatilia Mgogoro wa Shamba Bahi

Trilioni 1.3  Zatumika Kuboresha Afya Ya Msingi Nchini

Rais Samia akagua gwaride maalum

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mume na Mke Wafariki Kwa Wivu Wa Kimapenzi
Next Article Wakumbushwa Kufuata Utaratibu Wa Kuboresha, kurekebisha sheria 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mradi Wa Njia Ya Kusafirisha Umeme Wa Msongo Wa Kilovolti 400 Chalinze -Dodoma Mbioni Kukamilika
Habari July 29, 2026
Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 28, 2026
Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?