MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA
Habari

Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA)  imetengeneza teknolojia ya udongo wa kuoteshea mazao ya bustani  na mbogamboga ili kumpunguzia mkulima gharama za kilimo kwa lengo la kuongeza  tija katika kilimo na jamii kwa ujumla.
Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini ya Mafunzo VETA, Joseph Kimako amesema hayo
kwenye maonesho ya wakulima, wafugaji na Wavuvi yanayoendelea Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Amesema wanaonyesha teknolojia hiyo kwa kuwa udongo huo wa kuoteshea unaouzwa maduka ya kilimo umekuwa ukitoka nje ya nchi hivyo kuuzwa kwa gharama kubwa.
“Teknolojia hii ni rahisi ambapo tunachukua udongo wa msituni tunachanganya na samadi ya ng’ombe na pumba za mpunga na baada ya hapo tunawekwa kwenye mtambo unaochemsha maji ili kuua masalia ya magugu na wadudu.”amesema.
Amesema udongo kama huo unaouzwa kwenye maduka ya pembejeo unatoka nje ya nchi lakini virutubisho vinavyopatikana ndani yake ,vipo kwenye malighafi zinazopatikana hapa nchini.
“Kwa hiyo hili ni moja ya zao ambalo linapatikana kwenye fani zetu tatu za kilimo tunazozitoa VETA ambazo ni fani ya zana na mitambo ya kilimo ,fani ya mazao ya bustani na fani ya uzalishaji kwenye kilimo.”amesema.
Kwa mujibu wa  Kimako ,wameamua kwenda na teknolojia hiyo kwenye maonesho hayo  kuonesha udongo huo unapatikana hapa nchini.
Amesema sababu za kutengeneza teknolojia hiyo ni kumsaidia mkulima
aweze kupata mafunzo ya kutengeneza udongo huo ili alime kwa tija.
Amewashauri wakulima kwenda VETA kujifunza namna nzuri ya kutengeneza udongo huo ili kupunguza gharama za kwenye kilimo lakini mwisho wa siku watalima kwa tija.

You Might Also Like

Wakumbushwa Kufuata Utaratibu Wa Kuboresha, kurekebisha sheria 

Dkt. Biteko ashiriki kilele cha miaka 60 JWTZ

Ridhiwani Awashika Mkono Wenye Mahitaji Maalum

Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi Wajitosa Kugombea Ubunge

UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala
Next Article Someeni fani zisizo maarufu – mwalimu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?