MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala
Habari

Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAZAZI na walezi wameshauriwa kupeleka watoto katika Chuo cha Ufundi cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo  ya Ufundi Stadi (VETA), kujifunza useremala waweze kujiajiri na kuajiri wengine ili kujipatia kipato.
Mwalimu wa Fani ya Useremala kutoka Chuo cha VETA, mkoani Tanga Yusufu Mkahala amesema hayo kwenye maonesho ya wakulima, wafugaji na Wavuvi yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Amesema useremala  ni fani mama kwa kuwa mahitaji yake ni mengi kwa matumizi katika jamii, hivyo uhitaji ni mkubwa hasa wa samani kuanzia nyumbani ,shuleni hadi maofisini.
“Katika useremala unaweza kuzaliwa maskini lakini siyo lazima kufa maskini kwa sababu ukiwa na fani hiyo una uwezo wa kufanya kazi bila oda ya mtu yeyote na ukabuni kitu kizuri chenye mvuto kwa watu na watu wakanunua,” amesema.
Amesema mtu akiwa na fani hiyo ni rahisi kujiajiri na kwamba anapopata wateja wengi zaidi ni rahisi kuajiri wengine ili kukamilisha kazi za wateja alizo nazo.
Amesema fani hiyo ni muhimu katika kutatua changamoto ya ajira kwani uwezekano wa kujiari,kuajiriwa ama kuajiri wengine ni mkubwa.

You Might Also Like

TPHPA Yaelezea Vipaumbele Vyake

Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki

Tuwaombe Rais Samia, Mwinyi – Sheikh Swed

Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea

Usekelege: Kati ya Migogoro Tunayoipokea Ipo ya Wafanyakazi Majumbani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Silinde: Serikali bega kwa bega na wadau wa kilimo
Next Article Udongo wa kupandia mboga mboga unapatikana VETA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
PURA Yajipanga Gesi Asilia Itumike Kwenye Magari
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?