MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading:
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari >
Habari

Author
By Author
Share
2 Min Read

Hananja Awataka Vijana Kufikiri Mara Mbili Kabla ya Kufuata Wito wa Maandamano

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

MCHUNGAJI  Richard Hananja amewataka vijana kutafakari kwa kina kabla ya kushiriki maandamano au vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi, akisisitiza kuwa tofauti za mitazamo zinapaswa kujenga mazungumzo na maelewano, si migawanyiko.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, Hananja ameonya dhidi ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yanayoweza kuchochea chuki, matusi na vurugu, huku akiwahimiza vijana kutumia majukwaa hayo kwa uwajibikaji.

Amesema vijana wanapaswa kuwa waangalifu na wito unaotolewa mtandaoni, akibainisha kuwa wengi wa wanaohamasisha maandamano na vurugu hawapo nchini na hawaathiriki moja kwa moja na madhara yake, huku athari kubwa zikiwakumba wananchi waliopo nchini.
[18/06, 6:18 pm] Jane Jumikita: Hananja Aonya: Maandamano Yasivuruge Amani na Umoja wa Taifa.

Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo.

Hananja amesisitiza kuwa amani ni tunu muhimu inayopaswa kulindwa na kila Mtanzania, akionya kuwa kuvunjika kwake huwaathiri zaidi watoto na wazee. Aidha, ametoa wito wa kutafuta suluhu za tofauti kwa ustaarabu huku akieleza kuwa kujenga amani ni kazi ngumu lakini kuiharibu ni jambo la muda mfupi.

You Might Also Like

Katibu Mkuu Uchukuzi Aipongeza TASAC,  Kuelimisha Wananchi 

Profesa Mkenda Aitaka TAEC Kusomesha Watumishi

TPHPA Tumejiimarisha Kudhibiti Visumbufu Vya Mazao – Ndunguru

DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia

MAIPAC Yasisitiza Maadili Na Usalama Kwa Waandishi Wa Habari

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Magereza Yaomba Jamii Kuwapokea Wafungwa Wanaorejea Kutumikia Taifa
Next Article Hananja Awataka Vijana Kufikiri Mara Mbili Kabla ya Kufuata Wito wa Maandamano
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?