MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.
Habari

Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.

Author
By Author
Share
2 Min Read

Lucy Lyatuu

PWANI: SERIKALI imesema kongani ya viwanda ya SINO TAN iliyopo eneo la Kwala.mkoa wa Pwani inatarajiwa kujenga viwanda mbalimbali  vipatavyo 600 na kutoa ajira kwa Watanzania zaidi ya 100,000.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Selemani Jafo amesema hayo  alipotembelea eneo hilo,  na kuahidi kukutana na Shirika la Reli Tanzania ( TRC) ili kuona uwezekano wa kujenga kituo Cha reli katika eneo hilo ili kuharakisha usafiri.
Amesema atahakikisha kusukuma uwekezaji nchini ili kuongeza ajira na kuhamasisha  mkoa wa Pwani  ambao una uwekezaji mkubwa wa viwanda kuendelea kuongeza uwekezaji.
Amesema katika kongani hiyo uwekezaji mkubwa umefanyika na ameridhika sana na kasi hiyo na kwamba suala la kuongezwa umeme wa MG 50 litafanyiwa kazi kwani lengo ni vifanye kazi Kwa kasi ,vizalishe na kupunguza kutegemea kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa kongani hiyo, Janson Huang amesema anashukuru serikali  ya Tanzania Kwa ushirikiano mkubwa wa Uendelezwaji wa eneo hilo ambalo Lina ekari zaidi ya 2000.ikiwa ni kubwa zaidi Kwa eneo ambalo limewahi kusajiliwa Kusini mwa Afrika.
Amesema wamekamilisha sehemu ya ujenzi wa viwanda hivyo ambapo zaidi ya viwanda 200 ni viwanda vikubwa na 300 vikiwa ni viwanda vya kati na vidogo.
“Serikali inatoa ushirikiano mkubwa katika eneo hili na tunajua baadhi ya changamoto kama ya umeme,kituo cha reli na kupewa punguzo la Kodi tayari serikali imesikia na itafanyia kazi,” amesema na kuongeza kuwa watafanya kazi Ili kuhamasisha wawekezaji wengi waje nchini.
Awali Waziri Jaffo akiwa katika kongani ya kisasa ya viwanda ( KAMAKA),  iliyoko eneo la Mlandizi amepongeza uwekezaji wa wazawa katika eneo hilo lenye ukubwa wa ekari zaidi 1077.
Amepongeza miundombinu ya eneo hilo kuwa iko tayari na viwanda zaidi ya 200 vinajengwa eneo hilo na kwamba atahakikisha masuala ya  msingi yanapatikana Ili vijana wengi waweze kupata ajira.
Hata hivyo ameagiza maofisa wa Viwanda, kutoka Wizara yake kumuandikiabtaarifa maalum ya eneo hilo pamoja na changamoto zilizopo Ili zifanyiwe kazi.

You Might Also Like

Serikali Yaeleza Mikakati Ya Kuwezesha Vijana Katika Soko La Ajira

Wadau wa Kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua msimu 2024/25

Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga

Ruto: Diplomasia Itumike Kumaliza Mgogoro Kongo

Kampuni ya Kichina CCCC yatoa msaada wa vitabu UDSM

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM
Next Article ‘Viswaswadu’ kutumika kuboresha daftari la wapiga kura
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?