MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM
Habari

Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
WIKI ya kudhibiti bidhaa bandia duniani hapa nchini yanaadhimishwa kesho mkoani Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), William Erio amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari leo.
Amesema maadhimisho hayo yenye kauli mbiu, ‘Kulinda bidhaa bandia kwa nia ya kulinda ubunifu na kukuza uchumi yalianza Julai 15, mwaka huu.
Amesema kukosekana kwa ushirikiano kutoka kwa wadau, wafanyabiashara pamoja na wananchi ndicho chanzo cha bidhaa hizo kuendelea kuwepo nchini.
“Tume ya ushindani inaendelea kutoa elimu juu ya madhara ya bidhaa bandia kwa kuandaa semina na midahalo mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosa ushirikiano,
“Wafanyabiashara  wanajua fika kwamba hizo bidhaa zinauzwa duka fulani lakini hawatoi taarifa zaidi wanafurahia kununua bidhaa kwa bei ya chini ili hali madhara yake ni makubwa,ni wakati wa ninyi wadau kutoa elimu ilituweze kudhibiti bidhaa hizi,” amesema.
Amesema bidhaa bandia zinasababisha kuzorota kwa biashara kwa kuwa bidhaa hizo hazifuati mifumo rasmi ya serikali hivyo kusababisha ukwepaji wa kodi na kuipa hasara serikali.
Maana yake ni kwamba mtu anayefanya biashara halali hawezi kushindana na mtu anayefanya biashara bandia sababu bidhaa zake ni za bei ya chini kuliko kawaida.

Pia amesema biashara bandia ina athiri uwekezaji kwa kuwa wawekezaji wanapotaka kuwekeza nchini ni lazima wafanye uchunguzi wakibaini kuna uingizwaji wa bidhaa bandia hawawekezi tena.

You Might Also Like

Uwekezaji wa NSSF wa Mzizima Towers Kufungua Fursa Mpya za Biashara na Utalii Dar

Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi

UDSM Yaja Na Bajaji Inayotumia Maji Na Mafuta

Profesa Kitila Ataja Sababu Za Watanzania  Kumchagua Dkt Samia

VETA Shinyanga Waja Na Mafunzo Ya Saluni, Mapambo, Urembo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali
Next Article Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 28, 2026
Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?