MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: ‘Viswaswadu’ kutumika kuboresha daftari la wapiga kura
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > ‘Viswaswadu’ kutumika kuboresha daftari la wapiga kura
Habari

‘Viswaswadu’ kutumika kuboresha daftari la wapiga kura

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
Wapiga kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi jina maarufu vitochi ama viswaswadu kuanzisha mchakato wa kuboresha au kuhamisha taarifa zao.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani amesema hayo leo Julai 18 kupitia taarifa yake aliyoitoa.
Taarifa hiyo inasema uamuzi huo wa Tume umetokana na maoni ya wadau wa uchaguzi.
“Tume imefanyia kazi maoni na ushauri huo na kuanzia Julai 20 Julai, 2024 watu wote wenye simu za kawaida maarufu kama kitochi au kiswaswadu na watahitaji kuboresha au kuhamisha taarifa zao, watapata huduma hiyo kwa kupiga USSD Code *152*00# na kubonyeza namba tisa.
Baada ya hapo wataendelea na hatua nyingine kama itakavyokuwa inaelekezwa kwenye simu husika,” imesema.
Maelezo ya taarifa hiyo ni kwamba mpiga kura anayetumia njia hiyo atapokea namba maalum kupitia simu yake kisha atalazimika kwenda na namba hizo kwenye kituo anachotarajia kutumia kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ili kukamilisha mchakato na kupewa kadi mpya.
Katika hatua nyingine, Tume imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuanza rasmi kwa kituo cha huduma kwa mpiga kura  kinachoanza kutoa huduma kuanzia leo Julai 8, Julai, 2024.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyosainiwa na  Kailima, huduma hiyo ni ya bure na itatolewa kwa saa 14 kila siku kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 2:00 usiku.

 

You Might Also Like

Wamiliki Migodi Wapewa Siku 30 Kufanya Usajili

Watumishi Wa Magereza Manyara Wapatiwa Majiko Ya Gesi  

Ajali ya treni Kigoma , abiria 70 wajeruhiwa

Usafirishaji Wa Mizigo SGR Mbioni Kuanza

Zimamoto Mbeya Watoa Elimu Ya Kukabiliana Na Majanga Ya Moto Kwenye Wiki Ya Vijana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.
Next Article TASU yaiomba serikali inunue kutoa ajira kwa mabaharia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
TANESCO Kutambulisha Mfumo Wa Kufunga Nyaya Kwenye Nyumba Ukifuatilia Matumizi Ya Umeme
Habari July 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?