MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi Yatoa Siku Saba Kwa Taasisi Kujisajili
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi Yatoa Siku Saba Kwa Taasisi Kujisajili
Habari

Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi Yatoa Siku Saba Kwa Taasisi Kujisajili

Author
By Author
Share
2 Min Read


Na Lucy Lyatuu,Dodoma

TUME Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi (PDPC)  imetoa siku saba kwa taasisi  ambazo zinakusanya na kuchakata taarifa binafsi na  hazijakamilisha usajili kukamilisha kazi hiyo  kuanzia Juni 12,2026.
Aidha imesema taasisi ambazo hazijaanza kabisa usajili zinatakiwa kuanza na kukamilisha ndani ya sikumsaba za kazi kuanziamJuni 12,2026.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo, Dkt Emmanuel Mkilia amesema hayo jijini hapa wakati akielezea kuhusu utekelezaji na uzingatiaji wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi sura  ya 44 na kuongeza kuwa taasisi zote zinatakiwa kujiandaa kwa ukaguzi wa uzingatiaji wa sheria ambao umekwishaanza na unaendelea.
Habari Picha 12350
Habari Picha 12351
Amesema taaasisi zote zinapaswa kuhakikisha zina sera zilizoidhinishwa za ulinzi wa taarifa binafsi na mifumo madhubuti ya ulinzi wa taarifa.
Amesema Tume imebaini kuwepo kwa taasisi zinazoendelea kukusanya na kuchakata taarifa binafsi bila kuzingatia matakwa ya sheria,hususani katika sekta nyeti kama afya na elimu.
Amesema hali hiyo ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa sheria na inaleta hatari kwa hakimza msingi za faragha za wananchi na kwamba inawakumbusha wananchi kuwa wana haki ya kulinda taarifa zao binafsi kwa mujibu wa sheria.
“Wananchi wanahimizwa kutumia haki zao ikiwemo kuwasilisha malalamiko Tume endapo watabaini matumizi yasiyo  halali ya taarifa zao au ukiukwaji wa faragha zao,” amesema na kuongeza kuwa Tume itaendalea kutoa elimu miongozo na usimamizi ili kuhakikishamTanzania inakuwa na mfumo imara wa ulin> wa taarifa binafsi u zolinda haki za wananchi na kuimarisha imani katika matumizi ya teknolojia na huduma za kidigitali.
Habari Picha 12352
Hata hivyo amesema Tume imepanga kufanya kongamano la kwanza la faragha na ulinzi wa taarifa binafsi kuanzia Juni 29 hadi Judi 1,202_ jijini Dar es Salaam.

You Might Also Like

Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA

TRA: Serikali imemgusa mkulima kupitia mabadiliko ya sheria

SUA Chatumia Ngamia Mafunzo Ya Vitendo Kwa Wanafunzi

Kanisa Lawashika Mkono Shule Ya Msingi Kibamba, Halmashauri Ya Ubungo

Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Teknolojia Ya Juisi YA Ndizi Kali Yafungua Fursa Mpya Za Viwanda, Ajira
Next Article Kamati Ya Bunge Yatoa Maelekezo Ya Usimamizi Wa Kodi Kwa  Kwa TRA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 28, 2026
Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?