MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari

DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu,  Dodoma
TAASIS ya Elimu Ya Bahari nchini (DMI) imesema bado ina mahitaji makubwa ya wataalamu wenye ujuzi, na kuwataka vijana kuwekeza katika elimu na mafunzomya bahari ili kunufaika na fursa zilizopo.
Habari Picha 12305
Mhadhiri  Msaidizi katika Idara ya Uhandisi wa Meli ya Dar es Salaam  (DMI),  Daniel Sylvester Nkipatala, amesema mafunzo yanayotolewa na chuo hicho yameendelea kuwawezesha wahitimu kupata ajira katika mashirika ya ndani na ya kimataifa pamoja na meli zinazofanya kazi nje ya Tanzania.
Habari Picha 12307
Amesema   vijana wanapaswa kuwekeza katika elimu na mafunzo ya fani za bahari ili kunufaika na fursa zilizopo katika soko la ajira la kimataifa.
Amesema Vijana  watumie fursa zinazotolewa na taasisi za elimu ya bahari nchini ili kujijengea uwezo na kuongeza nafasi za kupata ajira ndani na nje ya nchi kupitia sekta ya usafirishaji wa majini na uchumi wa buluu.
Habari Picha 12310
Amesema sekta ya bahari  bado ina mahitaji makubwa ya wataalamu wenye ujuzi, hivyo vijana wanapaswa kuwekeza katika elimu na mafunzo ya fani za bahari ili kunufaika na fursa zilizopo katika soko la ajira la kimataifa.
 “DMI huandaa Kongamano la Uchumi wa Buluu kila mwaka kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kwa lengo la kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na uhifadhi wa mazingira ya baharini,” amesema.
Habari Picha 12309
Ameongeza kuwa  taasisi hiyo inaendelea kutoa elimu kuhusu mazingira ya bahari kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla ili kuongeza uelewa na kuimarisha ushiriki katika shughuli za uhifadhi wa mazingira na maendeleo ya Uchumi wa Buluu nchini.
Habari Picha 12311

You Might Also Like

Rais Samia Amwonya Mwigulu Dhidi Ya Vishawishi

Nyamhokya: Mei Mosi Ni Singida Mwaka Huu 2025

Mwanjala Wa TRC Aelezea Umuhimu Wa VETA

TARURA yaokoa kiasi kikubwa cha fedha kwa kujenga madaraja ya mawe

Katambi Ahimiza Udhibiti wa Bidhaa Duni, Jamii Yatakiwa Kutumia Huduma za TBS

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Next Article Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
TANESCO Kutambulisha Mfumo Wa Kufunga Nyaya Kwenye Nyumba Ukifuatilia Matumizi Ya Umeme
Habari July 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?