MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UCSAF  Kujenga Minara 287, Mradi  Wa Awamu Ya 10
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UCSAF  Kujenga Minara 287, Mradi  Wa Awamu Ya 10
Habari

UCSAF  Kujenga Minara 287, Mradi  Wa Awamu Ya 10

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
MFUKO wa Mawasiliano kwa Wote  (UCSAF) umesema  unaratibu mradi wa awamu ya 10 ambao utawezesha ujenzi wa minara 287 ambao utaongezq  huduma za mawasiliano nchi nzima.
 Meneja Mradi wa UCSAF, Mhandisi Wilfred Charles amesema hayo wakati   akizungumza na vyombo vya habari katika maonesho ya Utumishi wa Umma mkoani Dodoma.
Mhandisi Charles amesema kuwa utekelezaji wa miradi hiyo umechangia zaidi asilimia 50 ya huduma za mawasiliano na intanet vijijini.
Habari Picha 12554
Aidha amefafanua wanatoa mafunzo kwa tehema kwa walimu ili kuweza kuwasaidia kutekeleza majukumu yao katika masomo ya Tehama ambayo mpango huo unaendana  pamoja  na dira ya 2050.
Kuhusu  hali ya mawasilino kwa sasa nchini amesema wameshatoa huduma ya mawasiliano vijijini wakijenga minara 2000 vijijini na mradi wa minara   758 nchini kote mijini na vijijini tayari umekamilika.
 ‘ Tumefikia shule zaidi ya 1000tukipeleka kompyuta ili waweze kupata huduma ikiwa ni za sekondari, msingi hata vyuo,” amesema Charles  na kuongezw kuwa wanatumia wiki ya utumishi wa umma kutoa elimu kuhusu ,ajukumu yao.

You Might Also Like

Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu

Wiki ya Huduma za Fedha: SELF Yafungua Fursa za Kiuchumi kwa Wananchi Tanga

VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu

Unywaji Maziwa Shuleni Kuongeza Ufaulu, Kuboresha Afya – RAS Geita

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa
Next Article PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Habari June 22, 2026
Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa
Habari June 22, 2026
Ujenzi Wa Barabara Ya King’ong’o, Kimara Umeanza-TARURA
Habari June 22, 2026
Chuo Cha Ustawi  Wa Jamii Chawataka Wazazi Kujitokeza Kufundishwa Kuhusu Malezi
Habari June 21, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?