MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani
Habari

Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
OFISI ya Taifa Ya Takwimu  inatarajia kufanya tafiti mbalimbali ikiwemo ya  huduma za kifedha kwa wafanyabiashara 815  wakiwemo Wakala wanaotoa huduma hizo.
Lengo la utafiti huo ni Serikali kupata takwimu zitakazotumika kupima maendeleo ya utekelezaji wa mikakati wa Taifa wa ujumuishaji wa kifedha.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt Amina Msengwa amesema hayo jijini hapa  wakati akizungumza  kuhusu kuanza kwa tafiti mbalimbali  zenye lengo la kukusamya taarifa muhimu kuhusu shughuli za biashara katika sekta rasmi na zisizo rasmi.
Amezitaja tafiti zitakazofanywa na Ofisi hiyo kuwa ni utafiti wa kina wa shughuli za kibiashara,utafiti wa sekta isiyo rasmi,utafiti wa huduma za kifedha kwa wafanyabiashara wadogo sana,wadogo na wa katika na utafiti wa uzalishaji viwandani.
 Amesema katika tafiti hizo  unawezesha kupata taarifa za ajira, uzalishaji viwandani ,uwekezaji na mazingira ya biashara ambayo yatabainisha mwenendo wa ukuaji wa biashara na viwanda nchini.
Amesema taarifa zitakazopatika a zitaiaaidia Serikali na wadau wa sekta binadsi,mashirika yasiyonya kiserikali na watafiti kubuni programu mbalimbali za kubotesha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini na kuhuisha takwimu za thamani ya Pato ghafi.
Kuhusu utafiti kuhusu huduma za biashara amesema zitatumika kupima maendeleo ya utekelezaji wa mikakati wa Taifa wa ujumuishaji wa kifedha awamu ya tati pamoja na mpango Mkuu wa maendeleo ya sekta ya fedha hususani katika kutoa ushahidi wa kitakwimu kuhusu upatikanaji wa mikopo,akiba na huduma za fedha za kidigitali Kwa biashara mdogo sana na za kati.
Amesema matokeo ya utafiti huo utasaidia katika kuimarisha juhudi za kuendeleza sekta ya fedha nchini na kubotesha utoaji wa bidhaa na huduma za fedha zinazokidhi mahitaji ya wafanyabiashara.
Amesema tafiti hizo zitafanyika nchi nzima kwenye maneno ambayo yamechaguliwa ambayo yanafikia 1518 ikiwemo maneno 703 Kwa ajili ya utafiti wa sekta isiyo rasmi na maneno 815 Kwa ajili ya utafiti wa huduma za fedha.
Aidha amesema utafiti wa kina wa shughuli za biashara utahusisha taasisi na biashara 8624 na utafiti wa uzalishaji viwandani ukihusisha maneno 4245.
Dkt Msengwa amesema katika utafiti huo watategemea kuwa na wadadisi 713 na wasimamizi 69 ambayo jukumu lao ni kuhakikisha taarifa zinazokusanywa zina ubora wa Hali ya juu.
“Wakati wa utekelezaji wa tafiti hizo wadadisi watajitambulisha kwenye kaya na viongozi wa Serikali za mitaa na Kwa upande wa taasisi na viwanda wadadisi watakuwa na barua za utambulisho kutoka kwenye uongozi wa mkoa au halmashauri.

You Might Also Like

Kima Cha Chini Cha Mshahara Chapanda Kwa Asilimia 35.1-Rais Samia

Wizara Ya Kilimo Yajipanga Vema Maonesho ya Kimataifa Ya Biashara

Serikali Yawekeza Katika Utafiti wa Alizeti, Wakulima Wapate Mbegu Bora

Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma

Uzinduzi wa Ubia Wiki Ya Ubunifu Tanzania 2025 Wafanyika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article GCLA  Yanunua Mitambo Mikubwa Inayogharimu Sh Bil 32.25 Kuimarisha Uchunguzi Wa Sampuli
Next Article Mamlaka Za Mitaa Ondoeni Urasimu Katika Kuanzisha Biashara Mpya-Waziri Mkuu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yafikia Trilioni 11.2, Hifadhi Skimu Yatajwa Kubadili Maisha ya Watanzania
Habari April 27, 2026
TUCTA: Waajiri Watekeeze Nyongeza Ya Kima cha Mishahara Sekta Binafsi
Habari April 27, 2026
Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?