MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi
Habari

Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
ZANZIBAR: MAKAMU wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  Hemed Suleiman Abdulla amesema kuelekea uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu 2025, wananchi wanapaswa kupewa taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo iliyofanywa na Serikali zote,
Ili waweze kufanya tathmini na uamuzi wakati wa Uchaguzi wa viongozi wao.
Abdullah ameyasema hayo leo Aprili 3, 2025, alupokuwa akifungua Kikao Kazi cha 20 cha Maofisa Habari wa Serikali kinachofanyika katika ukumbi wa New Aman Complex, Zanzibar.
Abdulla amesema miongoni mwa miradi inayotekelezwa na Serikali ya Muungano ni ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ili kuimarisha huduma za usafiri wa haraka na kuleta Mapinduzi ya huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo hapa nchini.
Pia amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaendelea kuimarisha Uwanja cha Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume na vilevile kuanza ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wa kimataifa kisiwani Pemba na mingineyo mingi.
Ameeleza kuwa miradi yote hiyo itakapokamilika inakusudiwa kurahisisha upatikanaji wa huduma, kutarahisisha usafiri na usafirishaji wa mizigo  na kupunguza gharama za upatikanaji wa bidhaa kwa wananchi.
Pia kuchochea harakati za kiuchumi hapa nchini.
“Ni wazi kada yenu ina mchango mkubwa kwenye kuhabarisha umma, lakini bado mna kazi kubwa ya kuongeza juhudi ya kuhabarisha Umma kuhusu miradi yote ya maendeleo ili waweze kufanya uamuzi sahihi,” amesema.
Abdullah amewataka maofisa hao waongeze juhudi katika kuhanbarisha umma kwa kutoa taarifa sahihi za miradi mbalimbali ya Serikali.

You Might Also Like

Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini

China, Tanzania Zaendeleza Uhusiano Kupitia Tamasha La Kitamaduni

Kusiluka aitaka TVLA kuongeza tafiti za chanjo 

BAKITA Lapongeza Sheria Za Tanzania Kuandikwa Kwa Lugha Ya Kiswahili

MOI Yaokoa Bilioni 150 Matibabu Ya Kibingwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Majaliwa Asisitiza Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira Ya Uwekezaji
Next Article Tafiti Katika Afya Nyenzo Muhimu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TADB Yapongezwa Kwa Kuuongeza Uzalishaji Wa Mazao Nchini,Kuinua Kipato
Habari August 2, 2026
SmartDarasa: Tunda la Miaka 40 ya COSTECH Linalobadili Elimu ya Sayansi Tanzania
Makala August 1, 2026
TVLA Yazalisha Chanjo ya Kudhibiti Homa ya Kutupa Mimba kwa Mifugo
Habari August 1, 2026
Halmashauri Ya Jiji La Dodoma Lawataka Wakulima Kutumia Nanenane Kujifunza Kilimo Cha Kisasa
Habari August 1, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?