MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: MOI Yaeleza Sababu Viungo Bandia Kuuzwa Kwa Bei Kubwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > MOI Yaeleza Sababu Viungo Bandia Kuuzwa Kwa Bei Kubwa
Habari

MOI Yaeleza Sababu Viungo Bandia Kuuzwa Kwa Bei Kubwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA:TAASISI ya Tiba ya Mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu (MOI) imesema  viungo bandia vya binadamu vinauzwa bei kubwa kutokana na malighafi zinazotengeneza viungo hivyo kutozalishwa hapa nchini.
 Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt.
 Mpoki Ulisubisya amesema hayo alipokuwa akitoa taarifa kwa vyombo vya habari katika ukumbi wa Habari Maelezo Jijini Dodoma,juu ya mafanikio ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Amefafanua hilo baada ya kuulizwa kwa nini bei ya viungo bandia vya binadamu huuzwa kwa bei ghali ilhali wagonjwa wengi hawana uwezo wa kumudu hiyo gharama.
Amewataka watumiaji wa vyombo vya moto kuwa makini wawapo barabarani ili kupunguza ajali.
Kuhusu waendesha pikipiki amesema kuna haja ya vyombo vinavyosimamia usalama wa barabarani kuwakazia madereva bodaboda kwa kuwapatia mafunzo ya mara kwa mara na wakati mwingine kuhakikisha dereva ambaye hajapitia mafunzo ya udereva na asiyekuwa na lesini kutotumia chombo cha moto.

You Might Also Like

Shinyanga Kunufaika Na Miradi Ya REA,Wauziwa Mitungi 13,000 Kwa Ruzuku

Samia Mgeni Rasmi Siku Ya Mashujaa

Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini

Mwalunenge Kuunganisha Mbeya Mjini, Kusukuma Maendeleo Na Ajira Kwa Vijana

Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani: WCF Umeboresha Mifumo Ya Ushughulikiaji Wa Fidia
Next Article MNH Kuvuna Mifupa Kutengeneza Taya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?