MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TPHPA Yazidisha Ulinzi wa Mazao, Kudhibiti Magonjwa ya Viazi, Funza Weupe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TPHPA Yazidisha Ulinzi wa Mazao, Kudhibiti Magonjwa ya Viazi, Funza Weupe
Habari

TPHPA Yazidisha Ulinzi wa Mazao, Kudhibiti Magonjwa ya Viazi, Funza Weupe

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MKURUGENZI Mkuu wa, Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA),Profesa Joseph Ndunguru amesema Wamefanikiwa kudhibiti ugonjwa usiojulikana uliosababisha kunyauka kwa mimea ya viazi mviringo.
Ugonjwa ambao ulioathiri wakulima wa Tarafa za Ikuna, Kichiwa na Mtwango mkoani Njombe.
Profesa Ndunguru alieleza hayo, alipokuwa akitoa taarifa ya mamlaka hiyo kwa vyombo vya habari kuhusu mafanikio ya mwaka  2023/2024 hadi 2025/2026,
Habari Picha 11568
Alisema ugonjwa huo ulisababisha hasara kubwa kwa wakulima waliokuwa wamenuia mbegu za viazi aina ya Sagitta na Cayman, waliopata mkopo kutoka Benki ya CRDB.
“Uotaji na ukuaji wa mbegu ya Cayman ulikuwa mbaya, na hasara ilifikia takriban Sh. Bilioni 1.3, huku wakulima wakishindwa kurejesha mikopo yao,” alisema Profesa Ndunguru.
Alisema TPHPA ilichukua sampuli za mimea iliyoathirika na kutumia kipimo cha PCR kubaini chanzo cha ugonjwa.
Habari Picha 11564
Alieleza, uchunguzi ulionyesha kuwa bakteria Pectobacterium spp na Dickeya spp ndio walikuwa chanzo cha ugonjwa huo, na mamlaka hiyo ilipendekeza njia za udhibiti ili kuzuia kuenea zaidi.
Profesa Ndunguru aliongeza kuwa ripoti ya uchunguzi iliwezesha wakulima kushirikiana na benki ya CRDB, jambo lililowafanya kuongezewa muda wa kulipa mikopo katika msimu uliofuata wa kilimo.
Aidha, TPHPA pia imefanikiwa kudhibiti Funza Weupe katika Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, hasa katika kata ya Kilimampimbi na vitongoji vya Ikomela, Mavula, Waya na Rupia, vilivyoashiria hatari kwa mazao ya wakulima.
Habari Picha 11565
Alisisitiza kuwa, hatua hizo zimeongeza ulinzi wa mazao, kupunguza hasara kwa wakulima, na kuhakikisha mazao bora yanapatikana kwa msimu ujao wa kilimo.

You Might Also Like

Utafiti Wa Nguvu Kazi, Mapato Ya Kaya Kutoa Taswira Mpya Ya Maendeleo

Dira za Maji Kumaliza Kero ya Ankara

CCM Kuwezesha Wananchi Kufuatilia Mkutano Mkuu Maeneo Ya Wazi

WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi

  Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Katibu Mkuu Mwajuma Atunukiwa Tuzo, Ahimiza Mshikamano Sekta ya Maji
Next Article Tanzania Yajikita Katika Ushirikiano wa Kikanda Kuhusu Maji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

VETA  Yapongezwa Kwa Kuibua Vipaji Kwa Vijana  
Habari June 24, 2026
Kundi Kubwa La Wanafunzi Hukatisha Masomo Katika Ngazi Mbalimbali Ya Elimu -TEWW 
Habari June 24, 2026
TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma
Habari June 24, 2026
PURA Yasema Tanzania Inaendelea Kujivunia Uwepo Wa Gesi Asilia,Ni Nguzo Muhimu Katika Kuchochea Maendeleo
Habari June 24, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?