MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UDSM Yatafiti Ndege Nyuki ‘Drone’ Inayopunguza Uchafuzi Wa Hewa Ukaa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UDSM Yatafiti Ndege Nyuki ‘Drone’ Inayopunguza Uchafuzi Wa Hewa Ukaa
Habari

UDSM Yatafiti Ndege Nyuki ‘Drone’ Inayopunguza Uchafuzi Wa Hewa Ukaa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: MHADHIRI kutoka Idara ya Uhandisi Kilimo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Pascal Milindi amesema wamelenga kutafiti ndege nyuki zinazopunguza uchafuzi wa hewa.

Milindi amesema ndege nyuki hizo zinazotumika kwenye shughuli za kilimo katika mnyororo wa thamani wa kilimo ambao ni kumwagilizia dawa ya kukuzia miwa kwa haraka na kuongeza sukari, kwenye mashamba makubwa ya miwa kwenye viwanda vikubwa vya sukari ambavyo ni Kagera, Kilombero, Mtibwa na Manyara.

“Tulichokuwa tunafanya kwenye utafiti huu ni kutokana na mambo ya mabadiliko ya tabia nchi na hewa ukaa, sasa katika kila shghuli tunajaribu kuipunguza kadri iwezekanavyo.

“Kwenye shughuli hii ya kilimo tunajaribu kuangalia je? Matumizi ya ndege kwenye kumwagilia au kunyunyiza hizo dawa ya kukomaza miwa na tukitumia  hizo drone je hii teknolojia iliyoendelea ni kweli inasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kuunguza hewa ukaa, ndiyo lengo kubwa la mradi huu,” amesema

You Might Also Like

Mbunge Ndoinyo Asema Imani ya Wananchi kwa Rais Samia Yazidi Kuimarika

Bunge Bonanza 2026 Kuikutanisha Simba Na Yanga Dodoma

Tanzania yashiriki Kongamano la Afya Duniani jijini Berlin

Kongamano  La Kimataifa La Jotoardhi Laanza Kwa Mafanikio

Vyombo vya Habari ni Kama Maji’ -Biteko 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea
Next Article Ndege Ya TPHPA Yatua Rasmi Kudhibiti, Kwelea Kwelea, Viwavijeshi, Nzige 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vita Mashariki ya Kati Vyatikisa Uchumi wa SADC, Mawaziri Watakiwa Kuchukua Hatua
Habari March 12, 2026
Mamlaka Za Mitaa Ondoeni Urasimu Katika Kuanzisha Biashara Mpya-Waziri Mkuu
Habari March 12, 2026
Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu  Kufanya Tafiti Kwa Wakala Wa Huduma Za Fedha,Viwandani
Habari March 12, 2026
GCLA  Yanunua Mitambo Mikubwa Inayogharimu Sh Bil 32.25 Kuimarisha Uchunguzi Wa Sampuli
Habari March 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?