MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu
Habari

Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
KIGOMA :NAIBU  Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Charles Mahera amewaelekeza wakurugenzi na watendaji katika Halmashauri kusimamia miradi ya maendeleo kwa ukaribu ikiwemo miradi ya Afya ili kuongeza ufanisi na ubora katika miradi hiyo na kukamilika kwa wakati.
Hayo yamesemwa kwa niaba yake na Mkurugenzi msaidizi wa Huduma za Ustawi wa jamii Subisya Kabuje katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakati akiongea na timu ya usimamizi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe wakati akihitimisha ziara ya siku mbili iliyofanyika Mkoani humo.
Amesema kumekuwa na huduma mbalimbali ambazo zinatolewa katika Halmashauri miongoni mwa hizo ikiwa ni huduma feet family kwa Watoto waliopoteza familia zao ambapo Maafisa Ustawi wa Jamii wanajukumu la kufatilia familia hizo na kujua changamoto zinazowakabili na kuzitatua.
Kwa upande wa miradi ya ujenzi amewataka wataalamu husika wa kushirikiana kwa ukaribu na wahandisi wa Mradi kwani wao ndio wanaelewa zaidi ni vitu gani vinahitajika katika Miradi hiyo.
“lakini pia hata kwenye miradi ambayo inahusika na maswala ya ujenzi wa vituo vya afya Mganga Mkuu wa Halmashauri hakikisha unafatilia kwa ukaribu ujenzi na sio kumuachia Mhandisi peke yake ili kuhakikisha majengo hayo yanakizi mahitaji maalumu yanayotakiwa.”
Pia amewaelekeza watoa huduma katika vituo vya Afya na Zahanati kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa pindi wanapokuja kupata huduma mbalimbali katika vituo hivyo kwani itasaidia kuwavutia zaidi wananchi na kuongeza mapato katika vituo vya Afya vya Serikali.

You Might Also Like

Serikali Yaanza Mikakati Ya Kukabiliana Na Wanyamapori Wakali, Waharibifu

Mhitimu Mwenye Ulemavu Aivutia Serikali kwa Ubunifu wa Ramani VETA

Dodoma Yang’ara Katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani

TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa

Wanazuoni Kujadili   Dira  Itakayojenga  Uchumi Unaofikia   Dola Trilioni Moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo
Next Article Zitumieni fursa za misitu na nyuki-Tafori
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Jeshi La Zimamoto Yaimarisha Elimu Kwa Wananchi Kuhusu Matumizi Salama Ya Nishati Ya Kupikia
Habari August 9, 2026
DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Habari August 8, 2026
Waziri Nanauka Aipongeza   TARURA Kwa Mpango Wa  CBRM ‎
Habari August 8, 2026
PURA Yawataka Watanzania Kujenga Uwezo Kunufaika Na Sekta Ya Mafuta Na Gesi
Habari August 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?