MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Jeshi La Zimamoto Yaimarisha Elimu Kwa Wananchi Kuhusu Matumizi Salama Ya Nishati Ya Kupikia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Jeshi La Zimamoto Yaimarisha Elimu Kwa Wananchi Kuhusu Matumizi Salama Ya Nishati Ya Kupikia
Habari

Jeshi La Zimamoto Yaimarisha Elimu Kwa Wananchi Kuhusu Matumizi Salama Ya Nishati Ya Kupikia

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
JESHI la Zima Moto na Uokoaji limeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi salama ya nishati safi ya kupikia, hususan gesi ya kupikia, pamoja na njia sahihi za kuzuia na kukabiliana na majanga ya moto.
Elimu hiyo imetolewa katika Maonesho ya Nane Nane  jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu usalama wa moto katika maeneo ya makazi, biashara na shughuli mbalimbali za uzalishaji.
Habari Picha 13176
Jeshi hilo limeeleza kuwa limeona umuhimu wa kutoa elimu hiyo katika Maonesho ya Nane Nane kutokana na maonesho hayo kukutanisha maelfu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini, wakiwemo wakulima, wafanyabiashara, wafugaji, wajasiriamali na wadau wa sekta mbalimbali.
Kwa kutumia jukwaa hilo, wananchi wamepata fursa ya kujifunza kwa vitendo namna ya kutumia majiko ya gesi kwa usalama, kutambua vihatarishi vinavyoweza kusababisha moto na kuchukua hatua za tahadhari kabla ya janga kutokea.
Habari Picha 13177
Katika utoaji wa elimu hiyo, wananchi wamefundishwa namna sahihi ya kutumia na kuhifadhi mitungi ya gesi, kuhakikisha vifaa vya gesi vinafungwa na kutumika kwa usahihi, pamoja na kuchukua tahadhari wanapobaini dalili za kuvuja kwa gesi.
Aidha, wamepewa elimu kuhusu hatua za awali za kuchukua pale moto unapotokea na umuhimu wa kuwa na vifaa vya kuzimia moto katika maeneo yanayohitaji ulinzi huo, huku wakisisitizwa kutotumia njia zisizo salama ambazo zinaweza kuongeza madhara.
Jeshi la Zima Moto na Uokoaji limeendelea kusisitiza kuwa kinga ni hatua muhimu zaidi katika kupunguza madhara yatokanayo na majanga ya moto, hivyo wananchi wanapaswa kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu vyanzo vya moto na namna ya kuvizuia.
Habari Picha 13178
Habari Picha 13179
Habari Picha 13180

You Might Also Like

Brela Yatoa Huduma Zote Za Usajili Katika Maonesho Ya Teknolojia Ya Madini Geita

Kijiji Cha Nzinga Kibaoni Kilwa Chapata Umeme

FCC Yatoa Elimu Ya Ushindani Wa Kibiashara Katika Maonesho Ya  Biashara

Elimu Ya Fedha Yafika Makanya Same

Jaffo Aagiza Kufufuliwa Vilivyokuwa Viwanda Vya Serikali

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Habari August 8, 2026
Waziri Nanauka Aipongeza   TARURA Kwa Mpango Wa  CBRM ‎
Habari August 8, 2026
PURA Yawataka Watanzania Kujenga Uwezo Kunufaika Na Sekta Ya Mafuta Na Gesi
Habari August 8, 2026
COSTECH Yapambania Haki Za Wabunifu, Yalenga Kupeleka Bunifu Sokoni
Habari August 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?