MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mhitimu Mwenye Ulemavu Aivutia Serikali kwa Ubunifu wa Ramani VETA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mhitimu Mwenye Ulemavu Aivutia Serikali kwa Ubunifu wa Ramani VETA
Habari

Mhitimu Mwenye Ulemavu Aivutia Serikali kwa Ubunifu wa Ramani VETA

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, ametembelea banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea jijini Dodoma, ambapo alijionea kazi za ubunifu zinazofanywa na wahitimu wa taasisi hiyo, ikiwemo michoro ya ramani za majengo iliyobuniwa na mhitimu mwenye ulemavu wa mikono.
Akiwa katika banda hilo, Meneja wa Kampuni Tanzu ya VETA, Marco Kapinga, amesema VETA inaendelea kutoa fursa za mafunzo kwa vijana wenye mahitaji maalum na kuwawezesha kujitegemea kupitia ujuzi wanaoupata.
Amemtambulisha Mhitimu wa VETA Dodoma, Joseph Mtei, katika fani ya uchoraji wa ramani za majengo, ambaye kwa sasa ameajiriwa na kampuni hiyo baada ya kuonyesha umahiri mkubwa katika taaluma yake.
Habari Picha 12378
“Joseph alipata mafunzo VETA na sasa ni sehemu ya timu yetu. Kupitia ujuzi wake, amekuwa akibuni michoro mbalimbali ya majengo na kushiriki katika uzalishaji wa huduma zinazotolewa na kampuni,” amesema Kapinga.
Kwa upande wake, Mtei amesema michoro yote ya ramani za majengo iliyooneshwa katika banda hilo imebuniwa na yeye na tayari baadhi yake imetekelezwa katika miradi mbalimbali.
Habari Picha 12380
“Ramani zote mnazoziona hapa nimezichora mimi mwenyewe. Nimezitengeneza kwa kutumia ujuzi nilioupata VETA, na nyingi kati ya hizo tayari zinatekelezwa,” amesema.

You Might Also Like

Mwigulu: Wavivu, Wazembe, Wala Rushwa Serikalini Jiandaeni Na Fyekeo

Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani

Sababu Nne Zilizofanikisha Mafanikio Katika Uandikishaji

CHAUMMA Kuja Na Mpango Wa Masoko Ya Kisasa Dar es Salaam

Umoja, Mshikamano Vyatawala Mkutano Wa SADC

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kituo Cha Kubadilishia Njia Za Usambazaji Umeme Chazinduliwa Kongwa,Dodoma
Next Article Ridhiwani Aipongeza TEA kwa Kuimarisha Elimu Nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

SmartDarasa: Tunda la Miaka 40 ya COSTECH Linalobadili Elimu ya Sayansi Tanzania
Makala August 1, 2026
TVLA Yazalisha Chanjo ya Kudhibiti Homa ya Kutupa Mimba kwa Mifugo
Habari August 1, 2026
Halmashauri Ya Jiji La Dodoma Lawataka Wakulima Kutumia Nanenane Kujifunza Kilimo Cha Kisasa
Habari August 1, 2026
Dkt. Nchemba: TPHPA Yazidi Kuwafikia Wakulima
Habari August 1, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?