MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Jua Namba Zako Okoa Maisha Yako
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Jua Namba Zako Okoa Maisha Yako
Habari

Jua Namba Zako Okoa Maisha Yako

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
  TAASISI  ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inaendeea kuhamasisha wananchi kujua hali zao za afya kupitia kampeni ya “Jua Namba Zako”, inayofanyika katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Akizungumza  na waandishi wa habari waliotembelea banda la JKCI, Meneja wa Huduma na Utawala wa taasisi hiyo, Josephat Asenga, amesema kampeni hiyo inalenga kuwahamasisha wananchi kufahamu viashiria muhimu vya afya ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza.
Kwa upande wake, Dkt Daud  Bwilenza amesema hadi kufikia siku ya tatu ya maadhimisho hayo, JKCI imehudumia watu 170 waliopimwa magonjwa ya moyo, umeme wa moyo na kisukari, huku zaidi ya wagonjwa 20 wakipewa rufaa kwa uchunguzi na matibabu ya kina.
Habari Picha 12441
Dkt. Bwilenza amesema ongezeko la magonjwa ya moyo na kisukari linachangiwa na sababu zinazoweza kuzuilika ikiwemo kutofanya mazoezi, ulaji usiozingatia lishe bora na kutofanya uchunguzi wa afya mara kwa mara.
Ametoa wito kwa wakazi wa Dodoma na wananchi wote wanaotembelea maadhimisho hayo kufika katika banda la JKCI kupima afya zao, kupata ushauri wa kitaalamu na huduma za matibabu ili kubaini changamoto za kiafya mapema na kuanza matibabu kwa wakati.

You Might Also Like

Takribani watu 200 Wamepata Ushauri Wa Kibingwa Wa Ubongo, Mifupa 

Mkuu Wa Wilaya Komba Aitaka DIB Kuongeza Ulinzi Kwa Fedha Za Wananchi Katika Vikoba, SACCOS

OCPD Yakabidhi Juzuu Mpya za Sheria kwa Ofisi ya Taifa ya Mashitaka

Wakulima Waomba Watafiti Wa  AGRISPAK, Kuwatafutia Mbinu Kukabili Nzi Weupe

Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Hananja Awataka Vijana Kufikiri Mara Mbili Kabla ya Kufuata Wito wa Maandamano
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Hananja Awataka Vijana Kufikiri Mara Mbili Kabla ya Kufuata Wito wa Maandamano
Habari June 18, 2026
June 18, 2026
Habari June 18, 2026
Magereza Yaomba Jamii Kuwapokea Wafungwa Wanaorejea Kutumikia Taifa
Habari June 18, 2026
TPHPA Yasisitiza Matumizi Sahihi ya Viuatilifu kwa Wakulima
Habari June 18, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?