MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Jengo la Uwekezaji la Wafanyakazi Kufunguliwa Novemba 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Jengo la Uwekezaji la Wafanyakazi Kufunguliwa Novemba 
Habari

Jengo la Uwekezaji la Wafanyakazi Kufunguliwa Novemba 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
SHIRIKA la Maendeleo ya Wafanyakazi (WDC) linatarajiwa kuzindua mradi wa jengo lake la uwekezaji lililoko jijini Arusha Novemba mwaka huu.
Tayari maboresho ya jengo hilo lenye gorofa nne yanakaribia kukamilika ifikapo Octoba 2024 yakitarajiwa kugharimu sh bilioni 2.5.
Meneja Mkuu wa WDC,Muchunguzi Kabonaki amesema hayo wakati akizungumza na gazeti la MFANYAKAZI kuhusu maendeleo ya uboreshaji wa mradi huo.
Amesema kwa jiji la Arusha yapo majengo pacha yanayokarabatiwa kwa gharama ya sh bilioni 2.5 Hadi kukamilika kwake ambao ni mradi wa kuongeza Mapato na kuongeza Fursa za biashara.
Kabonaki amesema ukarabati wa mradi wa Arusha ulianza  June 2023 na unatarajiwa kukamilika Oktoba 2024 na kuzinduliwa rasmi.
Amesema lengo la mradi ni kuzalisha zaidi ya bilioni 1.5 kwa mwaka kwani una mita za mraba zaidi ya 5000 ambazo zitapangishwa na zizalishe mil 80 kwa mwezi.
Amesema jengo hilo la gorofa nne  lina vyumba vikubwa vya kupangisha kwa ajili ya biashara lakini pia hotel yenye vyumba vya kulala,ukumbi pamoja na mgahawa.
Kabonaki amesema mbali na mradi huo pia WDC iinatarajiwa kuwa nanuwekezaji mkubwa katika mhi wa Dodoma utakaogharimu sh bilioni 50.
Amesema mradi huo unatarajiwa kuanzia Januari 2025 ikiwa ni kujenga ghorofa za kuishi na usanifu unatarajiwa kuqnza Januari.

You Might Also Like

Majaliwa Awaagiza Wahandisi Kuzingatia Miiko, Maadili  Ya Taaluma Yao

Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Profesa Ndunguru: Mabadiliko Sekta ya Kilimo Yanaenda Sambamba na Uwekezaji Katika Utafiti

Kameta awaasa watanzania kutonunuliwa  kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mtaa, Mkuu

TARI Yawapa Elimu Wakulima, Maofisa Ugani 165 Kilimo Cha Matunda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article WDC Kuboresha Miradi Yake Ya Majengo
Next Article Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari Upo Kwa Ajili ya Watanzania – Kabonaki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Habari February 16, 2026
Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Habari February 14, 2026
Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Habari February 13, 2026
JAB Yasisitiza Ithibati Kama Njia ya Kuimarisha Ubora na Uaminifu wa Habari
Habari February 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?