MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani
Habari

Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Danson Kaikage
DODOMA: WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kusimamia misingi ya upendo, ushirikiano sambamba na kusimamia amani ya nchi.
Katibu wa Sekretarieti Baraza la Ulamaa Taifa Sheikh Swed Twaibu Swed, ameeleza hayo kwa niaba ya Muft Mkuu wa Tanzania Abubakari Zuber  wakati wa Ibada ya sherehe ya  sikukuu ya  Eid ul- Fitr  iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Sheikh Swed amesema waumini wa dini hiyo wanatakiwa kutambua wanayo kazi kubwa ya kulinda amani ya nchi na kuliombea taifa ili kuendelee kuwepo kwa amani na utulivu.
Akizungumzia suala la Uchaguzi Mkuu, amesema ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anakuwa mlinzi na balozi mwema wa kuhubiri amani ya nchi hususani wakati uchaguzi.
“Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kuwachagua wabunge,madiwani na Rais kwa maana hiyo ni wajibu wa kila mtanzania kusimama imara kuhakikisha amani na utulivu vinatawala.
“Tusikubali kugawanyika kwa namna yoyote ile na badala yake tushikamane kwani Tanzania ni yetu na sisi ndio watanzania wenye jukumu la kuitunza Tanzania kwa ajili ya vizazi vijavyo,” amesema.
Kwa kwa upande wake Sheikh Lali Abdul’Azizi ,Imam Masjid Bilaly Area C Jijini Dodoma,amewataka waumini wa dini ya kiislamu kuitumia sikukuu hiyo kutafakari mambo makuu ambayo Mungu amewatendea.
Amewataka wasitumie sikukuu hiyo kufanya anasa au kutumia vyakula na vinywaji ambavyo Mungu ameviharamisha.

You Might Also Like

Majaliwa Aagiza Sera Ya Elimu Kusimamiwa Kikamilifu

TRA: Serikali imemgusa mkulima kupitia mabadiliko ya sheria

Rais Samia Aridhia Malipo Ya Fidia Barabara Ya Afrika Mashariki

Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 

Miaka 30 YA TUGHE Yenye Mafanikio

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TEA, Wadau Kuwezesha Matumizi Safi Nishati Ya Kupikia Mashuleni
Next Article Sheikh Akemea Wanawake,Wanaume Wanaovaa Vibaya 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?