MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sheikh Akemea Wanawake,Wanaume Wanaovaa Vibaya 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sheikh Akemea Wanawake,Wanaume Wanaovaa Vibaya 
Habari

Sheikh Akemea Wanawake,Wanaume Wanaovaa Vibaya 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma Alhaji Dkt. Mustapha Shaban Rajabu akemea baadhi ya wanawake  wanaojipamba kinyume cha maagizo ya Mungu,
Pia wenye kuvaa nguo za kuonesha maumbile yao, kwa kusema kujipamba huko ni sawa na uchafu au kujipaka matope.
Sheikh Rajab amekemea hilo muda mfupi baada ya kumalizika kwa ibada ya Eid ul-Fitr iliyofanyika katika msikiti wa Gadafi Jijini Dodoma.
Amesema  kwa sasa wapo wanawake wameacha maadili ya Kimungu na kufanya mambo yao wenyewe hususani wakati wa kujipamba na kuvaa mavazi yasiyo na stara.
Amesema mwanamke ambaye anajibandika kope,nywele bandia, kujichubua kwa kujiongezea weupe, kuvaa nguo za aibu za kuonyesha maumbile ni sawa na kujipaka uchafu katika mwili, wawapo kwenye ibada hawawezi kupata thawabu.
“Katika dini ya Kiislamu sheria inaweka wazi kwa kumtaka mwanamke kuvaa nguo za kujisitiri mwili wake
“Kwa sheria hiyo mwanamke anapokuwa ajajisitiri vyema ni sawa kama yupo uchi kwa maana sehemu ambayo haihesabiki kuwa uchi kwa mwanamke ni usoni na viganja viwili vya mikono.
“Lakini iwapo ataacha kifua wazi,tumbo,kitovu au kuvaa nguo zinazoonesha maumbile yake huyo mtu ni sawa na aliye uchi kwa kuwa tayari sheria za dini ya Kiislamu zinamkataza,” amesema.
Amesema mwanamke anasitirika kwa kuvaa mavazi marefu na kuchora hina au piko,  achorwe na mumeo, kuonwa na mumewe tu hayo maua.
Hata hivyo amesema sheria ya dini ya kiislamu inawazuia wanaume kuvaa mavazi ya kubana na kuonesha maumbile,kusuka nywele,kuvaa kikuku au kuvaa milegezo au namna yoyote ya mavazi yampasayo mwanamke.
Amesema mwaname wa aina hiyo ni machukizo mbele za Mungu na kwa kufanya hivyo dini ya kiislamu inamuona kama mwanaume huyo ni firauni.

You Might Also Like

Matwebe Aipongeza Serikali Kushirikisha JUMIKITA  Kwenye Shughuli Za Kitaifa

Mpango wa Shule Salama Unaongeza ulinzi Kwa Watoto

Ridhiwani  Azindua Hafla ya Kuupandisha Mwenge, Mlima Kilimanjaro

Watafiti Wa Mimea Vamizi Watua Serengeti

Kamati Ya Bunge Ustawi Na Maendeleo Ya Jamii Yaridhishwa Wananchi Wanavyofikiwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani
Next Article Midea Group Yafungua Duka Mlimani City Dar Es Salaam
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaweka Mkazo Kufufua Viwanda Musoma Ili Kuongeza Ajira
Habari April 24, 2026
Program Ya Mama Samia Ya Kurasimisha Ujuzi Yazinduliwa
Habari April 23, 2026
TEA, Wizara ya Elimu Zanzibar Kushirikiana Kuimarisha Miradi ya Elimu
Habari April 23, 2026
Bajeti Yadhihirisha Uhakika Wa Nishati Nchini
Habari April 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?