MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi
Habari

Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

UTAFITI wa Uwezeshaji Wanawake Na Lishe 2023/24 umebaini  kuwa wanawake asilimia 26 pekee nchini ndio wanaoamini wanaweza kuwa na uhuru wa kuwa na maamuzi ya kufanya shughuuli za kiuchumi.
Aidha asilimia 34.1 pekee ndio wanaunga mkono wanawake kuwa na uhuru wa kufanya maamuzi ya ndoa,talaka na uzazi nchini.
Waziri wa Maendeleo Ya Jamii, Jinsia Wanawake  Na Makundi  Maalum,Dkt Dorothy Gwajima amesema hayo wakati akizindua tafiti mbili zilizofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ambazo zinalenga kuweka bayana hali halisi ya takwimu na namna ya  kutatua changamoto katika eneo husika.
Akizungumza,amezitaja tafiti zilizofanywa na NBS ni pamoja na unaouhusu mazingira na jinsia kwa mwaka 2025 pamoja namuwezeshaji wanawake na lishe 2023/24 ambazo,ni za kwanza kufanyika Tanzania na kwa bara la Afrika ni wa pili baada ya  nchi ya Senegal.
Amesema kufanyika kwz tafiti hizo ni hatua kubwa ya maendeleo ya kiutafiti na inatoa changamoto kwa fursa zinazoikabili Tanzania,zinatoa ushahidi juu ya mazingira yaliyopo nchini zikiangazia nani aliyeathirika zaidi na kusaidia kupunguza pengo za kiashiria na kuongeza wigo wa uzalishaji tafiti.
Amesema asilimia 54.6 wanakataa aina zote za unyanyasaji wote na ukatili wa kijinsia huku wanawake wakiongoza kwa kuwa na ushawishi wa muda kwa asilimi 43.3 dhidi ya wanaume ambao ni asilimia 39.4.
Kuhusu fedha na matumizi,utafiti umebaini  wanawake wako nyuma kwenye elimu ya matumizi ya fedha kwa asilimia 39.9 huku wanaume wakiwa na asilimia 54.8.Aidha wanawake wamekuwa wakishiriki katika vikundi visivyo rasmi na kwenye majukwaa ya dini.
“Kwa hali hiyo ipo hajamya elimu kwa wanawake kuhusu masuala ya fedha ikaongezwa ili kundi hilo liweze kukombolewa na kuongeza mchango wake wa maendeleo kwa taifa,”amesema na kuongeza kuwa utafiti wa mazingira umebaini wanawake kukumbwa na mabadiliko ya tabia nchi kwa asilimia 82.9.
Awali akizungumza Mwenyekiti wa bodi ya Takwimu, Anne Makinda amesema takwimu ndio dira ya Taifa na zimekuwa na msaada kuendeleza nchi.
Mtakwimu Mkuu wa,NBS, Dkt Amina Mrengwa amesema  tafiti zilizozinduliwa ni adimu kufanywa nchini na zinasaidia kujibu viashiria mbalimbali vya maendeleo nchini.
Amesema matokeo ya tafiti hizo ni umuhimumwzke unaonekana katika utekelezaji wa dira ya Taifa ya Mwaka 2050 kuwa na uchumi imara na jumuishi na uwekezaji na kuongeza tija.

You Might Also Like

Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu

Watu Milioni 300 Afrika Kutumia Nishati Ya Umeme Ifikapi 2030-Biteko

VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo

Majaliwa Aomba Watanzania Wapatiwe Mafunzo Belarus Kuendeleza Kilimo

REA Yapamba Moto Uhamasishaji Matumizi Ya Umeme

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria
Habari May 8, 2026
Wizara Ya Elimu Yaomba Kuidhinishiwa Trilioni 2.3
Habari May 7, 2026
Dkt. William Ruto Aipongeza NSSF Tanzania Kwa Uwekezaji wa Dola zaidi ya Milioni 51 Nairobi
Habari May 5, 2026
Ruto: Uwekezaji wa NSSF Nairobi ni mfano bora wa matumizi ya akiba
Habari May 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?