MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili
Habari

TPHPA yakusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu asili

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA), imekusanya zaidi ya sampuli 10,000 za mbegu za asili, kwa ajili ya kuzihifadhi na kuzifanyia utafiti ili kujua uwezo na sifa ilizonazo.
Mkuu wa Kitengo cha Taifa cha Hifadhi ya Nasaba za Mimea kutoka TPHPA, Mujuni Sospeter  amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi.
Amesema, ” Mamlaka inafanya utafiti kujua sifa zake za awali, kujua zina uwezo gani na baada ya kujua huo uwezo inatusaidia kuweza kushirikiana na taasisi hasa za utafiti ili wazitumie kwa ajili ya kuzalisha mbegu bora zaidi,”.
Amesema msingi wa utafiti unatokana na mbegu hizo za asili, ambapo kwa kutumia sifa za mbegu hizo watafiti wana nafasi ya kutengeneza mbegu bora zaidi.
“Kwa tafiti ambazo tumezifanya zinaonyesha hizi mbegu za asili zina sifa mbalimbali nyingi tu muhimu, virutubisho vingi tu muhimu ambazo hatuhitaji kuzipoteza,” amesema.

You Might Also Like

Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima

Magonjwa ya misuli yaongezeka mahala pa kazi-OSHA

Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi Ya Maendeleo Kigoma

TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa

Kamati Ya Bunge Ya Ustawi Na Maendeleo ya Jamii, Yaipongeza Serikali Uwekezaji Kiwanda Cha Chai

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwan Kikwete atembelea kituo cha kulelea watoto
Next Article USAID yatoa Dola mil nane Kwa kampuni za Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?