Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 16

Ridhiwan Kikwete atembelea kituo cha kulelea watoto

Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amepata nafasi ya kutembelea Kituo cha Kulelea watoto cha Kikombo, kilichopo Dodoma.
Kituo hicho kipo chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Katika ziara hiyo pamoja na kuona maendeleo ya kituo pia amekabidhi Vyerehani  Kwa hisani ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa ajili ya kujifunza  kushona.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.