MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TMA Yatoa Elimu ya Hali ya Hewa kwa Wananchi Dodoma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TMA Yatoa Elimu ya Hali ya Hewa kwa Wananchi Dodoma
Habari

TMA Yatoa Elimu ya Hali ya Hewa kwa Wananchi Dodoma

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kusisitiza umuhimu wa matumizi ya taarifa za hali ya hewa kwa wananchi na wadau mbalimbali kupitia ushiriki wake katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea jijini Dodoma.
Akizungumza katika banda la TMA, Ofisa Masoko wa mamlaka hiyo, Nasri Msulwa, amesema maonesho hayo yamekuwa fursa muhimu ya kutoa elimu kuhusu huduma za hali ya hewa zinazotolewa na taasisi hiyo, ikiwemo utabiri wa kila siku, utabiri wa msimu na tahadhari za matukio ya hali mbaya ya hewa.
Amesema TMA inalenga kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuwasaidia kufanya maamuzi bora na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na matukio mbalimbali ya hali ya hewa.
Habari Picha 12597
“Tunaendelea kuhamasisha matumizi ya taarifa za hali ya hewa kwa sababu zina mchango mkubwa katika kusaidia sekta mbalimbali kupanga na kutekeleza shughuli zake kwa ufanisi,” amesema Msulwa.
Amefafanua kuwa sekta za kilimo, mifugo, uvuvi, usafiri wa anga na majini pamoja na usimamizi wa maafa ni miongoni mwa maeneo yanayotegemea kwa kiwango kikubwa taarifa za hali ya hewa katika kupanga shughuli na kukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza.
Mbali na kutoa elimu, TMA pia imewasilisha teknolojia na mifumo mbalimbali inayotumika katika ukusanyaji, uchambuzi na utoaji wa taarifa za hali ya hewa.
Habari Picha 12598
Hatua hiyo imewapa wananchi nafasi ya kuelewa mchakato mzima wa utoaji wa utabiri na tahadhari za hali ya hewa.
Wananchi waliotembelea banda la mamlaka hiyo wamepongeza juhudi za TMA za kuendelea kutoa elimu kwa umma, wakieleza kuwa taarifa za hali ya hewa zimekuwa msaada mkubwa katika kupanga shughuli zao za kila siku na kujikinga dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi.
Ushiriki wa TMA katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ni sehemu ya jitihada za serikali za kusogeza huduma karibu na wananchi na kuongeza uelewa kuhusu huduma zinazotolewa na taasisi mbalimbali za umma.
Habari Picha 12600
Habari Picha 12601
Habari Picha 12602
Habari Picha 12603
Habari Picha 12604
Habari Picha 12605
Habari Picha 12606

You Might Also Like

TAFIRI Yaleta Mageuzi Makubwa Ya Uvuvi Kupitia Teknolojia Ya Satelite

Vyombo vya Habari ni Kama Maji’ -Biteko 

TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu

Ziwa Victoria Lanufaisha Watu Milioni 45 Afrika Mashariki – Mtanda

Boti yazama abiria 14 kati ya 21 waokolewa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TAA Yasisitiza Uwajibikaji katika Utoaji wa Huduma
Next Article PURA Yasema Tanzania Inaendelea Kujivunia Uwepo Wa Gesi Asilia,Ni Nguzo Muhimu Katika Kuchochea Maendeleo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TPHPA Kuja Na Ramani Ya Visumbufu Nchi Nzima
Habari August 9, 2026
Dkt. Samia: Ushirika Simamieni Matrekta Kwa Manufaa Ya Wakulima
Habari August 9, 2026
Jeshi La Zimamoto Yaimarisha Elimu Kwa Wananchi Kuhusu Matumizi Salama Ya Nishati Ya Kupikia
Habari August 9, 2026
DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Habari August 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?