MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: PSSSF Yapongezwa kwa Kutoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii Wiki ya Utumishi wa Umma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > PSSSF Yapongezwa kwa Kutoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii Wiki ya Utumishi wa Umma
Habari

PSSSF Yapongezwa kwa Kutoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii Wiki ya Utumishi wa Umma

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumsihi, Juma Mkomi (kushoto) akifurahia jambo baada ya Meneja Rasilimaliwatu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gloria Mboya (katikati mwenye fulana nyeusi) kumpatia maelezo ya huduma zinazotolewa kwenye banda la PSSSF kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma Juni 22, 2026.
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: KATIBU Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amepongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa ushiriki wake katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
Akitembelea banda la PSSSF Juni 22, 2026, Mkomi amesema mfuko huo umeonyesha jitihada kubwa katika kutoa elimu na huduma mbalimbali kwa wananchi pamoja na wanachama wake.
“Niwapongeze sana kwa ushiriki wenu, lakini pia kwa kutoa elimu na kuhudumia wananchi. Ninaamini katika maonesho haya mmekutana na wanachama wenu wengi. Hongereni sana,” amesema Mkomi.
Akitoa taarifa kwa Katibu Mkuu huyo, Meneja wa Rasilimali Watu wa PSSSF, Gloria Mboya, amesema hadi kufikia alasiri ya Juni 22, wananchi 365 walikuwa wametembelea banda la mfuko huo na kupata huduma mbalimbali.
Amesema wengi wa waliotembelea banda hilo wameunganishwa na huduma za kidijitali kupitia mfumo wa PSSSF Portal, unaowawezesha wanachama kupata huduma kwa urahisi zaidi.
Kupitia simu janja au kompyuta, wanachama wanaweza kuangalia taarifa za michango yao, kuwasilisha na kufuatilia madai mbalimbali, kusasisha taarifa binafsi na za wategemezi wao, huku wastaafu wakipata fursa ya kujihakiki kwa njia ya mtandao.
Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu ya “Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu” na yanatarajiwa kufikia kilele chake Juni 23, 2026.

You Might Also Like

Kanisa La GCC Kufanya Maombi Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Dkt. Ikomba Wa CWT Asema, Walimu Wanafanya Kazi Zaidi Bila Kulipwa Stahiki Zao

Mchengerwa Awafunda Walimu

TUGHE Yatoa Wito Kwa Wafanyakazi Kujitokeza Kupiga Kura

Halmashauri Zahimizwa Kujenga Viwanda Vya Michezo.

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Next Article Mkomi Atembelea Banda la PSSSF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Katibu Mkuu Uchukuzi Aipongeza TASAC,  Kuelimisha Wananchi 
Habari June 22, 2026
Qwaray Aipongeza VETA kwa Kukuza Ujuzi wa Vijana
Habari June 22, 2026
Mkomi Atembelea Banda la PSSSF
Habari June 22, 2026
PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Habari June 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?