MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Chuo Cha Ustawi  Wa Jamii Chawataka Wazazi Kujitokeza Kufundishwa Kuhusu Malezi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Chuo Cha Ustawi  Wa Jamii Chawataka Wazazi Kujitokeza Kufundishwa Kuhusu Malezi
Habari

Chuo Cha Ustawi  Wa Jamii Chawataka Wazazi Kujitokeza Kufundishwa Kuhusu Malezi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu, Dodoma

CHUO  Cha Ustawi wa Jamii kimesema   kwenye malezi ya  watoto kwa sasa  kuna changamoto kubwa, na kuwataka wazazi kujitokeza katika chuo hicho na kufundishwa kuhusu malezi ili mtoto aweze kukabiliana na changamoto  na kuwa mzalishaji wa uchumi.
Kimesema matukio ya ukatili yanayotokea kwa sasa mengi yanatokana nanmalezi ikianzia kuanzia hatua ya awali mtoto anavyolelewa na hata makuzi yake.
Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Dkt   Joyce Nyoni amesema hayo wakati akizungumza katika banda la  Chuo hicho lililoko katika wiki ya utumishi wa umma inayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park mkoani Dodoma.
Amesema watoto wa sasa wanalelewa kwa kukumbatiwa na mzazi pekee, hawezi kuonywa na jamii,  kama ilivyokuwa awali ambapo mtoto alikuwa akilelewa, kuonywa,kufundishwa hata kuelekezwa na jamii.
Habari Picha 12538
” Kwa sasa mtoto anakumbatiwa na mzazi peke yake, ambapo awali mtoto alilelewa na  kuonywa na jamii lakini kwa sasa amekuwa akikumbatiwa na mzazi peke yake,” amesema Dkt Nyoni na kuongeza kuwa ni muhimu kama mzazi kujitokeza kupata elimu katika  Chuo hicho na kufundishwa kuhusu malezi .
Kuhusu huduma ya kisaikolojia itolewayo kwenye mitandao ameitaka jamii kuhudumiwa na watalaam walio sahihi, kwani  maofisa ustawi wa jamii wapo katika ngazi ya ofisi za kata,mtaa na hata wilaya.
“Tutafute huduma sehemu stahiki, mtu akihudumu na akiwa hata utaalam husika anaweza kusababisha madhara zaidi hivyo ni muhimu kuwajua walio sahihi,” amesema na kuongeza iwapo mtu anaweza kupata huduma isiyo anaweza kushindwa kujenga uwezo wa kuangalia na kukabiliana na changamoto.
Kuhussu Chuo hicho amesema wapo kwenye wiki ya utumishi wa umma kueleza program mbalimbali wanazotoa pamojamnamdirisha la udahili kwa kozi mbalimbali zitolewazo katika chuo hicho.
Amesema wanatoa program mbalimbali kuanzia ngazinya cheti na uzamili ikiwemo za  maendeleo ya jamii,kozi za saikolojia,program za malezi na makuzi ya mtoto.

You Might Also Like

UDSM  Kujenga Jengo La Kisasa La Bil 8.3

Awamu Ya Pili Uboreshaji, Uwekaji Wazi Wa Dafatri La Wapiga Kura Kuanza Mei

Majaliwa: Elimu Ya Watu Wazima, Silaha Ya Mapinduzi Ya Maendeleo

TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea

NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article OUT Yazindua Programu Mpya za Masomo Kukidhi Mahitaji ya Uchumi wa Kisasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

OUT Yazindua Programu Mpya za Masomo Kukidhi Mahitaji ya Uchumi wa Kisasa
Habari June 21, 2026
BRELA Yahimiza Urasimishaji Biashara  Kuongeza Fursa Za Ukuaji
Habari June 21, 2026
ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno
Habari June 20, 2026
Serikali Yawahamasisha Vijana Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu ya Mama Samia
Habari June 20, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?