MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ujenzi Wa Barabara Ya King’ong’o, Kimara Umeanza-TARURA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ujenzi Wa Barabara Ya King’ong’o, Kimara Umeanza-TARURA
Habari

Ujenzi Wa Barabara Ya King’ong’o, Kimara Umeanza-TARURA

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma
WAKALA wa Barabara Mijini Na Vijijini (TARURA) imesema imeanza ujenzi wa barabara ya zege ya kilomita 1.6 unaoanzia eneo la TRA kuelekea King’ong’o eneo la Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo Cha Uhusiano Na Mawasiliano Kwa Umma wa TARURA, Catherine Sungura amebainisha hayo katika wiki ya Utumishi wa Umma inayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park mkoani Dodoma.

Amesema mpaka sasa imebakia kilomita 1.6 ya ujenzi wa Barabara hiyo na kwamba katika mwaka wa fedha 2026/2027 kipande Cha mita 800 kitakuwa kimefikiwa.

“Meneja wa wilaya ya Ubungo amethibitisha kuwa kilomita 1.6 za Barabara ndizi zimebakia na mwaka ujao wa fedha atajenga mita 800 ambazo zitaweza kuunganisha na maeneo mengine,” amesema Sungura na kuongeza kuwa majivu hayo yametokana na mwananchi alifika katika Banda hilo na kuuliza kuhusu ujenzi wa Barabara hiyo.

Habari Picha 12543

Amesema wamekuwa waliotumia wiki hiyo kutoa elimu Kwa wananchi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Barabara katika maeneo hayo na kuwaunganisha Kwa simu na mameneja wa sehemu husika Ili kupata majibu.

Amesema wananchi wengi wanafika katika Banda hilo wakitaka kujua ukamilishwaji wa Barabara na kwamba watafikiwa lini na hata kuhusu ujenzi wa Barabara mpya zitakazofunguliwa.

” Tume kuwa tukiwaelimisha kuhusu Barabara mpya kwenye maeneo yao na kwamba wasijenge kwenye eneo la Barabara,” amesema na kuongeza kuwa ni vyema wafahamu kuwa TARURA inajenga Barabara za lami,vumbi,changarawe na zege.

Amesisitiza kuwa TARURA itaendelea kuhakikisha miundombinu ya barabara inaboreshwa ili kurahisisha mawasiliano na usafiri kwa wananchi, huku akieleza kuwa barabara bora zinachochea upatikanaji wa huduma za kijamii, biashara na shughuli nyingine za maendeleo.

Kuhusu wiki hiyo amesema zaidi ya wananchi 300 wametembelea banda la TARURA tangu kuanza kwa Wiki ya Utumishi wa Umma, wakipata elimu na ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya barabara katika maeneo yao, hatua hiyo imeendelea kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na taasisi hiyo huku ikitoa fursa ya kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi moja kwa moja.

Habari Picha 12544

You Might Also Like

Ujenzi wa Majengo Mapya 67 Ya Halmashauri Yamekamilika-Mchengerwa

Maziwa Kukuza Uchumi Wa Wafugaji

Tanzania Yapokea Faru 18 Kutoka Afrika Kusini

Rais Wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Mgeni Rasmi Mkutano Wa THRAPA

Tumeleta Utulivu na Huduma kwa Walimu’ – Ikomba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Chuo Cha Ustawi  Wa Jamii Chawataka Wazazi Kujitokeza Kufundishwa Kuhusu Malezi
Next Article Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TAA Yasisitiza Uwajibikaji katika Utoaji wa Huduma
Habari June 23, 2026
‎NIRC Imechimba Visima 362, , Yahamasiha Wakulima Kunufaika Na Program Ya Umwagiliaji
Habari June 23, 2026
Katibu Mkuu Uchukuzi Aipongeza TASAC,  Kuelimisha Wananchi 
Habari June 22, 2026
Qwaray Aipongeza VETA kwa Kukuza Ujuzi wa Vijana
Habari June 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?