MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mbunge Ataka Vijiji Vinavyozunguka Mlima Kilimanjaro Kulipwa Fedha Za Uwajibikaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mbunge Ataka Vijiji Vinavyozunguka Mlima Kilimanjaro Kulipwa Fedha Za Uwajibikaji
Habari

Mbunge Ataka Vijiji Vinavyozunguka Mlima Kilimanjaro Kulipwa Fedha Za Uwajibikaji

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na  Lucy Lyatuu, DODOMA
WAKATi bunge likijadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Mbunge wa viti Maalum Zuwena Bushiri amesema vijiji vinavyozunguka mlima Kilimanjaro havijawahi kupata fedha za  uwajibikaji kwa jamii  kwa miaka mitano  licha ya kushiriki katika kulinda mazingira.
Amesema hayo jijini Dodoma wakati wabunge wakichangia,  mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungenni ambapo  pia walitaka hatua za haraka zichukuliwe kudhibiti wanyama waharibifu na kuhakikisha wananchi wanaopata madhara wanalipwa fidia kwa wakati ili kuondoa migogoro kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi.
Akizungumza Zuwena amesema wananchi wa vijiji hivyo wanatakiwa kupata fedha hizo hilo ,ili waendelee na shughuli zao za maendeleo pamoja na ulinzi wa mazingira ya mlima huo.
Ameongeza kuwa ipo haja ya Serikali kufanya tafiti za kina kuhusu kupungua kwa theluji ya Mlima Kilimanjaro akisema hali hiyo inaweza kuathiri utambulisho wa Tanzania kimataifa.
 “Kwa sasa barafu inapungua kila siku ukilinganisha na miaka iliyopita. Serikali ifanye tafiti na ilete majibu ya namna ya kuokoa theluji hiyo,” amesema.
 Kadhalika ametaka kuongezwa utangazaji wa vivutio vya utalii vilivyoko mkoa huo ikiwemo pango wanaloishi ngombe na mbuzi wasiokuwa na mmiliki katika  mlima Kidenge.
Amesema wanyama hao wanaoishi katika pango hilo hujitenga wzkTi wa kulala kwa maana ya wakubwa na watoto la,ini pia asubuhi huanza ,utoka kwa kuzingatia u,ubwa,jambo ambalimlimekuwa likiwafurahisha watalii wanaofika  katika mlima huo.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Christina Mzava, amesema sekta ya utalii ni ya pili kwa kuingiza mapato kwenye pato la taifai, na mapato ya sekta hiyo yameongezeka kutoka Sh bilioni 3.9 hadi Sh. bilioni 4.4 kufikia Desemba 2025.
 Hata hivyo, amesema fedha hizo zinaingia kwenye mfuko mkuu wa Serikali lakini zinazorudishwa kwenye taasisi za utalii ni kiasi kidogo kisichotosheleza mahitaji ya sekta hiyo.
 “Sekta hii ina mambo mengi ya kufanya ikiwemo kulinda wanyama, kuboresha vivutio na miundombinu ya utalii. Fedha hizi zingebaki kwao ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi,” amesema.
 Kuhusu  malalamiko ya wananchi wanaoathiriwa na wanyama wakali, alisema fidia zinazotolewa ni ndogo na hazitolewi kwa wkati licha ya madhara makubwa yanayowapata wananchi.
 Amesema takwimu zinaonyesha madai ya fidia kwa wananchi walioathirika yanafikia dola 62,446 sawa na zaidi ya Sh bilioni 18.6 lakini hadi sasa ni dola 15,000 pekee zimelipwa huku zaidi ya Sh 47,000 zikidaiwa kwa zaidi ya miaka miwili.
 Mbunge wa Pangawe, Haji Amour Haji, ameshauri mambo mbalimbali kwa  Wizara ya Maliasili na Utalii  ili kuvutiawatalii, ikiwemo suala la kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia slogan moja ya kudumu ya utalii pamoja na kuwatumia wahamasishaji maarufu duniani kuitangaza.
 Amesema Tanzania imekuwa ikibadilisha ‘slogan’ za utalii mara kwa mara jambo linalopunguza nguvu ya utambulisho wake katika soko la kimataifa.
Aidha, Haji alisema utalii hauwezi kukua bila miundombinu bora, usalama wa uhakika, huduma nzuri za malazi pamoja na huduma bora kwa wateja.

You Might Also Like

Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala

Mafanikio Ya TEA Kwa Serikali Awamu Ya Sita;Miradi Ya Elimu 3,768 Yatekelezwa, Bil. 49.5 Zatumika

Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA

Maboresho sheria, kanuni za madini yameongeza mapato

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ukosefu wa Chakula Shuleni Waathiri Wanafunzi Longido, CORDS Waja na Mrad
Next Article Ziwa Victoria Lanufaisha Watu Milioni 45 Afrika Mashariki – Mtanda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nyavu za Plastiki Zatishia Afya za Watumiaji wa Samaki Ziwa Victoria
Habari May 19, 2026
Utunzaji Ziwa Victoria Wasisitizwa kwa Mustakabali wa Uchumi, Mazingira
Habari May 19, 2026
Inzi Chuma: Suluhisho la Chakula cha Mifugo, Uhifadhi wa Mazingira
Makala May 18, 2026
Ziwa Victoria Lanufaisha Watu Milioni 45 Afrika Mashariki – Mtanda
Habari May 18, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?