MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Chiku Athumani Aahidi Kusimamia Afya na Elimu kwa Umakini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Chiku Athumani Aahidi Kusimamia Afya na Elimu kwa Umakini
Habari

Chiku Athumani Aahidi Kusimamia Afya na Elimu kwa Umakini

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MBUNGE wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Arusha, Chiku Athumani, amesema atahakikisha masuala ya afya na elimu yanapewa kipaumbele katika Bunge la 13, akisisitiza kuwa afya ya mama na mtoto ndiyo msingi wa maendeleo ya jamii.
Amesema hayo nje ya viwanja vya Bunge jijini Dodoma katika Mkutano wa kwanza wa Bunge ka 13.
“Kama mama na mwakilishi wa wanawake, nitashirikiana na serikali kuhakikisha afya ya mama na mtoto inabaki kuwa kipaumbele cha kitaifa,” amesema Chiku.
Akizungumzia sekta ya elimu, Chiku amesema serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya shule, hatua iliyopunguza umbali wa wanafunzi kufika shuleni hadi wastani wa kilomita mbili pekee.
Aidha, amesema jukumu kuu la wabunge ni kuishauri na kuisimamia serikali, kuhakikisha kila mpango unaopitishwa bungeni unatekelezwa kwa wakati na kwa ufanisi.
“Kazi yetu si kupitisha bajeti pekee, bali kuhakikisha tunasimamia utekelezaji wake kwa uwajibikaji na uthubutu,” amesisitiza.
Chiku pia alieleza kuwa mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ni mfano wa utekelezaji wa sera zenye matokeo chanya, ikiwemo kupungua kwa vifo vya akina mama na watoto wachanga kutoka 556 hadi 104 kati ya vizazi 100,000.

You Might Also Like

NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje

Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52

Tanzania Yapokea Faru 18 Kutoka Afrika Kusini

NSSF Yajivunia Kasi Ya Ufanisi Na Mafanikio Miaka Minne Ya Rais Samia

Usekelege: Kati ya Migogoro Tunayoipokea Ipo ya Wafanyakazi Majumbani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rita Kabati Aahidi Kuimarisha Miundombinu, Kuwatumikia Wananchi Wa Kilolo
Next Article Agnesta Lambart: Nitakuwa Sauti ya Wananchi wa Segerea Bungeni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?