Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Uncategorized Lucy Ngowi 19

DCF NZALAYAIMISI ATEMBELEA BANDA WIZARA MAMBO YA NJE: ATOA PONGEZI

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Naibu Kamishna (DCF) Puyo Nzalayaimisi ametembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa lengo la kujionea shughuli zinazofanywa na Wizara hiyo kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Jijini Dodoma Juni 19, 2026

DCF Nzalayaimisi ameishukuru Wizara hiyo kwa kuendelea kuliunganisha Jeshi hilo na Mahusiano mbalimbali ya Kimataifa na Mashirika ya Nje ambapo Maafisa na Askari wameweza kufaidika na mafunzo mbalimbali

Habari Picha 12487
Habari Picha 12489
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.