MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Umeme Kubadilisha Maisha Ya Wakazi Wa Kisiwa Cha Jibondo Mafia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Umeme Kubadilisha Maisha Ya Wakazi Wa Kisiwa Cha Jibondo Mafia
Habari

Umeme Kubadilisha Maisha Ya Wakazi Wa Kisiwa Cha Jibondo Mafia

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Mwandishi Wetu, Mafia – Pwani
ZAIDI ya wananchi 3,000 wa Kisiwa cha Jibondo, Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, wanatarajiwa kuanza kunufaika na huduma ya umeme baada ya Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutekeleza mradi wa kusambaza umeme katika kisiwa hicho  wenye thamani ya Sh bilioni 8.4.
Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Septemba 2026, ambapo kwa sasa umefikia asilimia 82 ya utekelezaji na unatarajiwa kubadilisha maisha ya wananchi kwa kufungua fursa mpya za kiuchumi, kuongeza shughuli za uzalishaji na kuboresha upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii.
Habari Picha 13604
Wananchi hai wameeleza kuwa kwa muda mrefu, wakazi wa Jibondo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya ukosefu wa umeme, hali iliyokuwa ikiathiri shughuli zao za kiuchumi, hususani zinazohusisha uvuvi, uchakataji na uhifadhi wa mazao ya bahari.
Wananchi wanasema kukosekana kwa umeme kuliwafanya kushindwa kutumia fursa mbalimbali za kuongeza thamani ya mazao yao na kuanzisha viwanda vidogo vya kuchakata samaki na bidhaa nyingine za baharini.
Habari Picha 13605
Hata hiyo wamesema uwepo wa umeme sasa unakwenda kuleta matumaini mapya, huku wakitarajia kuanzisha biashara na shughuli za uzalishaji zitakazowaongezea kipato, kuunda ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.
“Kabla ya umeme wananchi wa Kata ya Jibondo na kisiwa hiki walikuwa katika mazingira magumu sana kwani walikosa baadhi ya fursa za kiuchumi kwa sababu hawakuwa na umeme. Tunaipongeza TANESCO kwa kutuletea umeme; fursa mbalimbali zinafunguka na uchumi utazidi kukua,” amesema Hassan Mohamed, Diwani wa Kata ya Jibondo.
Habari Picha 13606
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Mafia,  Seif Kijanga, amesema mradi huo unahusisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya kusambaza umeme, ikiwemo laini kubwa na ndogo za umeme, ufungaji wa mashine umba (transfoma) pamoja na nyaya za kusafirisha umeme baharini kutoka Kisiwa cha Juani hadi Jibondo.
Amesema kazi kubwa iliyobaki ni kulaza nyaya hizo baharini na kwamba zoezi hilo likikamilika, wananchi wataanza kupata huduma ya umeme.
Habari Picha 13607
Habari Picha 13608
“Mradi huu kwa sasa umefikia asilimia 82 na unatarajiwa kuwanufaisha wananchi zaidi ya 3,000 katika kisiwa hiki. Gharama ya mradi ni Sh bilioni 8.4 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Septemba 2026,” amesema  Kijanga.

You Might Also Like

FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam

Wadau wa Kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua msimu 2024/25

Wafanyakazi Wapongeza Uzinduzi wa Miongozo, Mifumo ya Kielektroniki ya Ofisi ya Waziri Mkuu

JOWUTA,IFJ na THRDC kutoa mafunzo ya kuripoti uchaguzi mkuu.

Biteko Aiwakilisha Tanzania, Uapisho Wa Rais Boko, Botswana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Yalenga Kuzalisha, Si Kununua Teknolojia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tanzania Yalenga Kuzalisha, Si Kununua Teknolojia
Habari September 3, 2026
Profesa YANDA:  Tanzania Ihitaji Teknolojia Kufuatilia Uharibifu Wa Mazingira
Makala Uncategorized September 3, 2026
Ujenzi Sports Club Yatoa Msaada Kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum, Dodoma
Habari September 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuchukua Hatua Kuimarisha Sekta Ya Elimu,Kupanua Fursa Za Elimu Ya Sekondari
Habari September 3, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?