MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: PBPA Yashiriki Tamasha La Nne La Kitaifa La Utamaduni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > PBPA Yashiriki Tamasha La Nne La Kitaifa La Utamaduni
Habari

PBPA Yashiriki Tamasha La Nne La Kitaifa La Utamaduni

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) unashiriki tamasha la Nne la Kitaifa la Utamaduni kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu majukumu yake na Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja nchini.
Katika tamasha hilo, wataalamu wa PBPA wanatoa maelezo kuhusu namna Wakala unavyoratibu uagizaji, upokeaji na uwasilishaji wa bidhaa za mafuta aina ya petroli, dizeli na mafuta ya ndege.
Habari Picha 13468
Habari Picha 13469
Wananchi wanaotembelea banda la PBPA pia wanaelimishwa kuhusu mchango wa Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja katika kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana nchini kwa uhakika, kwa wakati na kwa gharama shindani.
Aidha, PBPA inatoa elimu kuhusu matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi na Upatikanaji wa Taarifa (SCADA), unaotumika kufuatilia ushushaji wa mafuta kutoka melini hadi kwenye maghala ya kuhifadhia mafuta.
Ushiriki wa PBPA katika tamasha hilo ni sehemu ya jitihada za Wakala kuimarisha mawasiliano na wananchi pamoja na kuongeza uelewa kuhusu shughuli zake na mchango wake katika usalama wa upatikanaji wa nishati nchini.
Habari Picha 13470
PBPA imewakaribisha wananchi kutembelea banda lake ili kupata elimu, kuuliza maswali na kufahamu zaidi kuhusu Mfumo wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja.

You Might Also Like

Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani

Mbunge Ulanga Aweka Mikakati Kuufungua Mkoa wa Morogoro Kimaendeleo

Biashara Kati Ya Tanzania Na Uturuki Yapanuka Kwa Kiasi  Kikubwa

MSD, SALAMA Zaunganisha Nguvu Kuboresha Sekta ya Afya SADC

PURA Yawataka Watanzania Kujenga Uwezo Kunufaika Na Sekta Ya Mafuta Na Gesi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TFNC Yahimiza Wanaotoa Ushauri Wa Lishe Mitandaoni Kushirikiana Na Taasisi Zenye Mamlaka
Next Article TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Habari August 27, 2026
TFNC Yahimiza Wanaotoa Ushauri Wa Lishe Mitandaoni Kushirikiana Na Taasisi Zenye Mamlaka
Habari August 27, 2026
TaSUBa Yahimiza Vijana Kuzifikia Fursa Za Mafunzo Ya Sanàa Na Utamaduni
Habari August 27, 2026
Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa
Habari August 26, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?